Wanaume tuliowahi kupata gono tukutane hapa

Ebu wekeni picha ya sindano
Umeona libomba hiloo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
images (1).jpeg
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ndio ivyo.. nakumbuka nilimaliza show kama saa saba au nane usiku.. ile nimeanza ondoka kwenye saa tatu kitu kipo kwa hewaaa.. mzee
Na hiyo saa tatu ndo muda, nilikuwa natoka Meriwa nipo kwenye kidala nikashtuka kama nimechomwa, vichomo vikakolea ikabidi nishuke nitafuta pori kujikagua nikakuta makamasi.. Kukaa na watu huwezi na hata kusema huwezi wewe kila saa ni chooni..
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ile aibu mzee
 
Back
Top Bottom