Mr DIY
JF-Expert Member
- Dec 24, 2016
- 1,188
- 2,553
Hapana huwa tunatumia syringe za kawaida za 10cc ila ile dawa huwa nyingi kwa dozi moja, so inabidi kugawa mara mbili, so dozi moja nusu tako la kushoto nusu la kulia, nakuhakikishia ukipigwa penadur lazima ujutie uhuni wako 😄😄😄Ndo hiyo naskia sindano Yake KUBWA Kama ya ng'ombe?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app