Wanaume tuliowahi kupata gono tukutane hapa

Ndo hiyo naskia sindano Yake KUBWA Kama ya ng'ombe?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hapana huwa tunatumia syringe za kawaida za 10cc ila ile dawa huwa nyingi kwa dozi moja, so inabidi kugawa mara mbili, so dozi moja nusu tako la kushoto nusu la kulia, nakuhakikishia ukipigwa penadur lazima ujutie uhuni wako 😄😄😄
 
Sasa hivi na ndoa.. speed imeshuka zero 😅😅 naogopa sana peleka shida ndani ya ndoa.. nampenda mke wangu na familia ambayo tumeanzisha..
Hata hivyo mie ni muumini wa mwanaume mwenye experience idadi yake ya kutosha means atakuwa kapitia kwingi kaona za kila namna wengi wakiamua kutulia hutulia kweli,,
 
Basi kuna kutulia basi, tunalinda heshima ya ndoa na lazima kuheshimiana.. tunatamani sana kupiga nje.. ila ukifiria risk zake.. unaamua kujituliza unaenda ipasua ya home😅😅😅 sema sasa hivi ndio nipo kwenye mtihani miezi sita sitakiwa mgusa mwenzangu.. sasa sijui nitatoboaa na majaribuu ni meeengi
 
Jitahidi utoboe nitakukumbuka kwa maombi😂😂
 
Basi kuna kutulia basi, tunalinda heshima ya ndoa na lazima kuheshimiana.. tunatamani sana kupiga nje.. ila ukifiria risk zake.. unaamua kujituliza unaenda ipasua ya home😅😅😅 sema sasa hivi ndio nipo kwenye mtihani miezi sita sitakiwa mgusa mwenzangu.. sasa sijui nitatoboaa na majaribuu ni meeengi
Miezi sita bila mbususu si bora ukufe tuu mwanawane sasa maisha yana raha gani bila kugegeda
 
😅😅😅😅 hapa mwanawane siungani mkono na wewe 🤣🤣🤣 acha nitulie tu miezi sita kitu ganii atakuna na bao amazing sanaaa lilochochakukaaa atalisikia hadi kooni litapotoka 😅😅😅😅
 
Bado sanaa.. enzi zangu hao ni wa siku nne za wiki tu.. maana kuna kipindi mtu unapiga hata wanne kwa siku 🤣🤣🤣🤣🤣 naona mie kama nimefika kabisa mia tanoo.. alafu gono akaja nipa mmoja tu . ila Mungu kanilinda sanaaa huko kote sijawai pata hata hiv.. na wengine unatoka mkaza unakaa kijiweni washkaji wanasema yule ana wayaaa 🤣🤣🤣 ila unajikaza tu
😂😂😂
 
Back
Top Bottom