Wanaume tuliowahi kupata gono tukutane hapa

Hiii bar ina vibe kuna malaya sana
 
Vizuri kama umeng'amua hilo. Basi nipee mbususu nione huruma jamani nyeto nimeichoka🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni asali ya bibi.
 
Kinene alikuwa rafiki yangu na pia sikiwa nakutana naye sana kwani mimi nilikuwa CBA so hatukuwa tunakutana naye sana. Sisi alikuwa Mama Assenga yule wa Biology ndio tulikuwa tunakutana naye sana.
Safi. Saana mgalatia.

Nyinyi ndio mliwaharibu watoto WA mzee kinara.

Nilipita pale mwanzoni MWA miaka ya 2010's

Wazee wa baikoko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gorno mwanamke anaweza kuwa nalo na asijijue, hawa wenzetu miili yao inahimili aina hiyo ya magonjwa kama mwanzoni. Ukija kuona hadi dalili zinaonekana, jua umefika pakubwa
Sio kama mwili unahimili hapana,mostly wanashindwa kutofautisha hali ya ute wa kawaida na tatizo hasa kwenye hatua za mwanzo,kumbuka hawa njia ya mkojo ni tofauti na uke hivyo akikojoa hapati maumivu kama mwanaume ndio maana wanajigundua tatizo likiwa kubwa au mwanaume aliyeambukizwa naye ausanue
 
Mwingine akipewa majibu anaenda kujiua chap...sio kila mtu anauwezo wa kupokea ushauri,yasikie kwa jirani yasikukute unaweza kujipupulia mbele ya DK [emoji16][emoji16]
Sio kila mtu ana moyo wa kupokea majibu,,,,mwingine akiambiwa anaanza kuwashwa hapohahapo,kitapika,kuharisha,anaota mapunye[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bora tu mstuko yaani
 
Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…