Wanaume tuliowahi kupata gono tukutane hapa

Me naona kama muwasho flani iv kweny mrija wa **** na niliuza mechi week mbili zimepita kwa uzoefu wangu gono linakuwa na matokeo ya haraka kwa mwanaume hii vp watalaamu au inanivutia muda tu ije kuniabisha[emoji51][emoji51]
 
Hahaaaaaa, sijui ni gono au kaswende ila sitaki kukumbuka. 2005 nilitembea na Dada mmmoja, Nilianza kukojoa mkojo wa njano na jamaa kuuma then vikaanza vipele na kujikuna. Ugonjwa ule ulikaa muda mrefu na nilipoenda Galanos, wanafunzi wenzangu wakanishtukia maana sio kwa kujikuna vile mpaka najisahau. Wakanishtukia mwisho nikaenda Hospitali pale Tanga. Siwezi kusahau yale Masindano na madonge. Zile sindano ni kubwa ile mbaya.
 
Ukome unafanyaje mapenzi bila kupima magonjwa ya zinaaa?? Dem hata akiwa na magonjwa ya zinaa hawajui kwa haraka kama ilivyo UTI kwa wanawake inawahi kuonesha dalili kwa wanaume inachelewa kutokana na mfumo wa mkojo ulivyo.
 
Ngono zembe
 
Hivi gono unaweza pata ukiwa umevaa condom?
Hizi condom ni effective bao la kwanza, kwa bao la pili na kuendelea hapo kupasuka ni 50-50 (hasa hizi za kibongo), ukichanganya forward backward na circular movement. Utasikia kitu inaitika lakini ile raha ya ghafla ya nyama kwa nyama utachomoa baada ya kuwaleta wazungu.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Sii mchezo kitu ni tamuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…