Mwami Ntale
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 855
- 2,264
Actually baada ya tukio hili nilikuwa makini mno.Niliwahi eleza kisa cha demu niliyemtoa geto kwa fimbo kisa tu amekataa nisitumie condom.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Actually baada ya tukio hili nilikuwa makini mno.Niliwahi eleza kisa cha demu niliyemtoa geto kwa fimbo kisa tu amekataa nisitumie condom.
Mungu aniepushie huo ugonjwa aisee dah siamini kama unaweza kukojoa dagaa 🤣🤣🤣Sasa umekula kavu jana unapima HIV kesho
Anyway nilikua naona kwa wagonjwa tu mpaka nilipokutana na husna kimodo dadekii
Yani kabla ujakojoa unalia mchozi
Kule maji hakuna hivyo Gono ni kitu cha kawaidaGono msala hasa la dom ,😅😅
masaa kadhaa mzigo unacheua...
ila limezidi ukali sasa 🤣🤣Kule maji hakuna hivyo Gono ni kitu cha kawaida
Binadamu mwanaume ni mnyama suala la kuoa ni principal tu za kibinadamu... Umeshawahi kuona Simba au punda ana mke,😂😂😂mkome na muache umalaya
😂😂😂Tena ningekuwa nesi we ningekuchoma na sindano la tembo kabisaBinadamu mwanaume ni mnyama suala la kuoa ni principal tu za kibinadamu... Umeshawahi kuona Simba au punda ana mke
Hatuachi watu tuna ngoma ndio iwe gono🤣🤣🤣🤣,😂😂😂mkome na muache umalaya
Clamydia hiyo, nayo ni STD pia, hapo ukienda hospital watakuandikia Cypro, Doxycycline na Metronidazole...ila huwa haimalizi kabisa[emoji23]mkuu imenipata wiki iliyopita. Ni Noma. sipati maumivu lakini kichwa kinatema usaa kama dragon.
Tena wewe ndo ningekuchoma na sindano km mpini wa jembe ili ukomeHatuachi watu tuna ngoma ndio iwe gono🤣🤣🤣🤣
Mbususu zenu tamuuuu
Yani hadi mnajua la wapi ni kali😂😂@Mzee wa kupambania hebu njoo utoe ushuhuda maana we ni mwanaharakati mbobeziila limezidi ukali sasa 🤣🤣
Wee sio wa kwanza wala wa mwisho kutaka kunichoma🤣🤣🤣🤣Tena wewe ndo ningekuchoma na sindano km mpini wa jembe ili ukome
Ila umalaya wako ndio ukakupa tuzo ya gono acheni kula wanawake wa mazenseWee sio wa kwanza wala wa mwisho kutaka kunichoma🤣🤣🤣🤣
Ila ukweli esemwe nyie mademu mnatupa sana gono mie nimepata gona mara tatu
Wee unataka kuwachoma watu sindano tuuu😂😂😂Tena ningekuwa nesi we ningekuchoma na sindano la tembo kabisa
Kwaio gono kumbe hata ukipiga katelelo unalipataUnapata ishu ipo pale unapoivua... Inashauriwa kuivua kuanzia kwenye Shina la uume huku ukiipindua ndani nje... Kama Kuna maji jirani inashauriwa unawe kwanza mikono na sabuni kabla ya zoezi la kuvua
Kama mwanamke haumuamini epuka mgusano wowote wa uume wako na sehemu za Siri zake kabla ya tendo la ndoa, kwani unaweza kuvaa condom kipindi uume wako ulishakutana na majimaji ya ukeni, kwahyo inakua kazi Bure, na hapa wanaume wengi ndio wamelia
Mbona mnawasingizia wa manzese jamani ? Mie gono la kwanza nilipatia harare, la pili mwanza gono mara ya tatu nilipatia kijichiIla umalaya wako ndio ukakupa tuzo ya gono acheni kula wanawake wa mazense