Wanaume tuliowahi kutongozwa tujuane

Wanaume tuliowahi kutongozwa tujuane

Visa vikaanza kwenye upandaji wa pikipiki QUEEN akakaa ki kike na kunisogelea very close huku mikono yake kaegesha mapegani kwangu HAPA CHALE ZA UUME ZIKAANZA KUCHEZA

Wakati pikipiki ikiwa inamove binti akabadllisha mkao kutoka mkao wa kike kuja mkao wa kiume huku pikiipiki inatembea nikajiuliza ila sikumaind kivile nikakaushaa,

Baada ya kubadili mkao demu akanisiogelea very close yaani utadhani nimebeba watu wa 4 kumbe mmoja tu nikahsi huyu sio bure anataka mkuyenge nikajismea ngoja tuone yajayo ,

Demu akanilipa pesa nikachukua halafu nikawa busy simjali wala nini ,

NIKIWA gheto nimepumzika akaja tena mtoto wa dada ake akaniambia mama mdogo amenituma nikuletee hii karatasi amesema umjibu sasa hv ,

karatasi ilikuwa imeandikwa hivi " WEWE KAKAKA HAKIKA NIMETOKEKEA KUKUPENDA NAOMBA TUANZISHE URAFIKI WA MAHUSIANO"

Nikajisemea ukisikia hakuna mkate mgumu mbele ya chai ndo hapa sasa ,

WAKUU nilichapa mzigo kutwa mchana na usiku

anyway ila TULISHA TEMANA KITAMBOOO IMEBAKI STORI kuwa TULIKUWAGAAAA!
Kiongozi Hawa viumbe sidhani kama unaweza kuwachomolea aisee wana mbinu balaah
 
Pole na hongera sana na kazi za ujenzi
Wa TAIFA letu

Rejea mada apo juu:

#Ilikuwa mwanzoni mwa mwezi huu wa kumi na moja tarehe mbili, siku hiyo mwanangu alistahili kwenda klinick#
Usku wa tarehe moja mm na mama ake tulitofautiana kidogo ivo siku hiyo mke wangu akawa amegoma kumpeleka mtoto clinic,,

Basi nikasema isiwe taabu nikavaa zangu shati na suruari na koti [emoji1787][emoji1787] badae nikapiga neck tie, nikapewa vyeti na nguo ya kubobea clinic,,

Mzee baba nikawasha pikipiki na mwanangu mgongoni wa miaka miwili

Bahati nzuri niliwahi kufka zahanati buduma zilikuwa bado hazijaanza kutolewa maana ilikuwa bado saa moja Kama na dk ishirini ivi

Nikakaa zangu kwenye benchi uku nikiwa nimembeba mwanangu kifuani,gafla akapita dada mmoja (nurse)

Nurse: Kaka vp
Mimi: safi za asubuhi
Nurse: nzuri,karb
Mimi: asantee sana
Nurse: vp mtoto wetu anaumwa
Mm: hamna nimemleta clinic
Nurse:haaaaaaaàa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] akachekaa sanaa kwa sauti [emoji1787][emoji1787] Kisha akasema
"Nenda upande wa kule ndo clinic wanakaa"

Mimi: asantee [emoji1319][emoji1319] sikujua dada angu,
Wakati nataka kusimama akaniulza samahani Simu yako ina salio nimpigie dada wangu wa kazi nimweleze kitu nimesahau?

Nikamwambia hamna sina salio,,nikaulza mtandao gani anatumia akanambia halotel
Nikasema chukua vocha hii ujiunge mpigie

Nurse: asantee sana Kaka angu
Mimi: usjal sawaa
Nurse:niachie namba ako basi
Mm:0784034,,,,,6
Nurse: asantee, ngoja niingie mzigoni apa badae
Mimi😛owa kazi njema
Nurse: malezi mema pia
Mimi: asantee [emoji1319][emoji1319]

Basi wajomba ile nataka kusepa zangu home baada ya kupima mwanangu,,simu inaita oohoo kuangalia namba ngeni
Kumbe imetuma na meseji sikuiskia

Ndugu zangu wanawake wanajua kupiga mistari,,sikutarajia maneno aliyokuwa ANAONGEA yule nurse na kuandka

Ninachokumbuka nikuombwa nimpeleke mtoto nyumban alafu nirudi uku nikipewa elfu tano ya mafuta kupitia Airtel money

Sikuwa na ujanja wa kuulza kuna shida gani,japo nilijibu maswali yake kama mwanaume,,na yeye akiwa Kama mwanamke

Saa kumi na moja simu inaita,,,napokea nalaumiwa kwa nn sijarudi? Nikamjbu nilikuwa na kazi nyingi ila Sasa hivi niko undo

Akanitaka niende sehem ambayo naijua vizuri ,,ni mtaa fulani karbu na mtaa jirani
Nikawasha pikipiki adi pale namkuta amekaa peke ake,akiwa ameshavua nguo za kazi

Akanitaka tusogee adi nyumban kwake,nikambeba adi kwake daaah
Saa mbili kasoro usku ndo najiandaa kurudi nyumban haaaah,,wajomba sikutumia kinywaji chochote tofauti na nanasi iliyotengenezwa nikiwepo palepale,,

Nilitoa sharti la kupima afya zetu nurse alikubali lakini ki ukweli alifunguka kuhusu kunipenda na kuhitaji tuwe pamoja

Adi leo naandka huu uzi wajomba mzigo nakula Kama kawaida [emoji851] kwani nurse anajielewa isitoshe hela ya kusuka anayo ,,hela ya mboga ipo na uwezo anao,

Japo naona anataka isiwe siri [emoji125][emoji125][emoji124] [emoji125] jambo ambalo siwez muda wowote naweza kimbia

Rejea uzi wetu pendwa wa KULA TUNDA KIMASIHARA

LETENI VISA VYENU WANAUME MLIO WAHI KUTONGOZWA
NB:AFYA ZETU NI IMARA NDO MAANA NILIKUBALI KULA MZIGO ADI SASA [emoji1319][emoji1319][emoji1319]
Kudadadeki mpongeze mkeo kwa kuzira kumpeleka mtoto klinik eti anamziria nguruwe shamba mihogo yote imeliwa,sasa mzigo ulipakua mbele na nyuma?
 
Mbona umetongozwa kiurahisi sanaa, wewe ungekua demu boda boda wote wangekupitia wewe ni Eazy goer, yaani siku ya kwanza paka unavuliwa nguo tena nyumbani kwa demu, mwenyewe duh
Mwambie asije tongozwa na basha
 
Sema mwanamke akikutongoza, kuchomoa ni ngumu mno.
Mimi nimeshachomoa kwa wawili. Halafu wote kutoka Mkoa ule maarufu wa waja leo kuondoka majaliwa....

Wa kwanza kuchomoa ilikuwa rahisi ila huyu wa pili ilikuwa balaa. Mtoto shombe shombe. Ilibidi niombe msaada wa maombi kutoka kwa baba mchungaji........... Sijawahi kukutana na mwanamke single mother king'ang'anizi kama yule.. Namwambia mi mlokole tafadhali sana sitaki kutenda dhambi... Ananiambia utatubu tu usijali. Mbona tunawabananisha hadi watumishi wa Mungu, wewe muumini tu wa kawaida unakuwa mwoga hivyo!
Mwanamke akianza kulia kuomba akubaliwe ombi lake ni balaa. Hadi kutishia kunywa sumu. Sitaki kukumbuka kabisa ule mkasa...... jinsi nilivyonusurika Mungu tu anajua.
 
[emoji23][emoji23] mkuu nimecheka sana story hii

na mimi ngoja ntoe story yangu kwa ufupi sana...(SINA UANDISHI MZURI VUMILIENI)

wakati naingia mwaka wa 3 chuo flani apa bongo ...nilipokea simu toka kwa mshkaji wangu kuwa ana mdogo wake anakuja first year pale chuoni na angeoomba nimpokee na kumsaidia .......na kipindi hiko naingia mwaka wa 3 nilikuwa niko ghetto na sikuendaga likizo ya last semester so ,ikawa advantage kwao mimi kuwa around chuoni pale muda huo....

Dogo akatua alikuwa mweupe mwili portable kizuri kwa mbali..basi nikamsaidia hapa na pale akafanikiwa ..

Tukawa tunachati lkn ananiita KAKA na kuheshiiana sana na mimi sikuwa na time naye ...

Siku 1 ikaingia mesegi yake Bonge la SMS la tongozo eti ananipenda na nismwambie kaka ake ...

Baharia nkamwambia Njoo ghetto tuone namna ya kufanya hyo ishue ,Tulinjunjana kama mwez badae akaokoka na kuhudhuria vipindi vya dini.

CHAKUSHANGAZA , akakutana na waumini na ma classmate wangu wakamwambia mimi ni mhuni na mlevi na mvuta bangi , demu akavunja uhusiano na mimi nkasema haina kwere ,ulijileta mwenyewe

ASIKWAMBIE MTU MWANAUME KUTONGOZWA ,KUKATAA HUWA NI ISHUE SANA ,SIJAWAHI KUMKATALIA TONGOZO LA MANZI
Daah kiongozi hawa viumbe wakipenda kuwaruka ni kazi,,
 
Mimi nimeshachomoa kwa wawili. Halafu wote kutoka Mkoa ule maarufu wa waja leo kuondoka majaliwa....

Wa kwanza kuchomoa ilikuwa rahisi ila huyu wa pili ilikuwa balaa. Mtoto shombe shombe. Ilibidi niombe msaada wa maombi kutoka kwa baba mchungaji........... Sijawahi kukutana na mwanamke single mother king'ang'anizi kama yule.. Namwambia mi mlokole tafadhali sana sitaki kutenda dhambi... Ananiambia utatubu tu usijali. Mbona tunawabananisha hadi watumishi wa Mungu, wewe muumini tu wa kawaida unakuwa mwoga hivyo!
Mwanamke akianza kulia kuomba akubaliwe ombi lake ni balaa. Hadi kutishia kunywa sumu. Sitaki kukumbuka kabisa ule mkasa...... jinsi nilivyonusurika Mungu tu anajua.
Yaan alafu anatokea mtu anasema wanaume tumekuwa wepesi siku hizi haaaah ,,Hawa viumbe ni nomaa sana
 
Na mimi nitoe testimony yangu…imeshawahi kutokea ila mara nyingi inakuwa indirect…ila sasa last weekend nikiwa kwa nite club kubwa kwa sasa dar…tumekaa kwenye meza wanaume watupu kwa mbele kulikuwa na meza ina wadada mixer wanaume…sisi tuliwakuta basi tulivyofika kuna mmoja wa wale wadada alikuwa ananicheki sana ila mimi sikujua mpaka mshkaji wangu aliponiambia basi bana nikawa na mimi namcheki kiaina nikajua kweli amewasha full na ilikuwa ni pisi ya moto sana…as time goes nikawa naenda washrooms si akanifata akanichana live amenielewa nilikuwa nimeshika simu akaichukua bila kuomba akasave namba baada ya hapo…ni babe za kutosha from morning to evening…ni pisi ya kishua haswaa…never spend my money on her
 
Mimi nimeshachomoa kwa wawili. Halafu wote kutoka Mkoa ule maarufu wa waja leo kuondoka majaliwa....

Wa kwanza kuchomoa ilikuwa rahisi ila huyu wa pili ilikuwa balaa. Mtoto shombe shombe. Ilibidi niombe msaada wa maombi kutoka kwa baba mchungaji........... Sijawahi kukutana na mwanamke single mother king'ang'anizi kama yule.. Namwambia mi mlokole tafadhali sana sitaki kutenda dhambi... Ananiambia utatubu tu usijali. Mbona tunawabananisha hadi watumishi wa Mungu, wewe muumini tu wa kawaida unakuwa mwoga hivyo!
Mwanamke akianza kulia kuomba akubaliwe ombi lake ni balaa. Hadi kutishia kunywa sumu. Sitaki kukumbuka kabisa ule mkasa...... jinsi nilivyonusurika Mungu tu anajua.
Afu mwanamke ukimkatalia mnaweza kua maadaui, hawa viumbe bhana.
 
Kutongozwa na wanawake kawaida, though huyo alienda extra miles she's so confident.
Kuna wanawake wana confidence balaaa... Kuna mmoja enzi hizoo one day akanisimamisha, baada ya salama akaniambia oyaaaa jioni saa mbili njoo home kwangu (ingawa namjua kwa kuonana kitaa kwake sijawahi fika), nikamjibu kuna issue gani mrembo? Akajibu nataka uje uninyandue kuna tatizo?? Daaah nilibaki Nimetoa mimacho tuu...
 
Back
Top Bottom