Wanaume tuliowahi kutongozwa tujuane

Wanaume tuliowahi kutongozwa tujuane

Na mimi nitoe testimony yangu…imeshawahi kutokea ila mara nyingi inakuwa indirect…ila sasa last weekend nikiwa kwa nite club kubwa kwa sasa dar…tumekaa kwenye meza wanaume watupu kwa mbele kulikuwa na meza ina wadada mixer wanaume…sisi tuliwakuta basi tulivyofika kuna mmoja wa wale wadada alikuwa ananicheki sana ila mimi sikujua mpaka mshkaji wangu aliponiambia basi bana nikawa na mimi namcheki kiaina nikajua kweli amewasha full na ilikuwa ni pisi ya moto sana…as time goes nikawa naenda washrooms si akanifata akanichana live amenielewa nilikuwa nimeshika simu akaichukua bila kuomba akasave namba baada ya hapo…ni babe za kutosha from morning to evening…ni pisi ya kishua haswaa…never spend my money on her
#Kiongozi hawa viumbe wakipenda hawana uvumilivu ata punje#
 
Mwanaume anaetongozwa na kusimulia simulia ni hovyo kabisa [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]!!!
Sio kweli maana tumezoea mwanaume ndo anatongoza ,,Leo mwanamke anatongoza kwa nn usiwe Uzi pendwa
Rejea ule uzi wetu pendwa [emoji1376][emoji1376][emoji1376] #umewahi kula tunda kimasihara#
 
Wanaume wagumu tupo wachache sana tena mimi kabisa ateme mistari sijui anaanzia wapi

Labda kujilengesha tu ili mukichwa kwangu kutiki lakini siyo kitema mistari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aliyejaribu kutema mistari niwaachiaga machozi tu

Lkn anayejilengesha huwa naona dharau

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Kutongozwa na wadada ni kawaida katika maisha yangu..
Hasahasa enzi za ujana kabisa.
Wako niliowachomolea wako niliowakubalia.

Sion cha ajabu kila mtu ana haki ya kusema hisia zake.
Nikianza kusimulia visa ni vingi sana.

Shida ni wale ninaowataka mimi,wengi wananichomolea za mbavuni kinomanoma.
Kiongozi nakuomba uweke kisa kimoja katika uzi huu tafadhali [emoji1376][emoji1376]
 
Kiongozi nakuomba uweke kisa kimoja katika uzi huu tafadhali [emoji1376][emoji1376]
Kuna bidada alikua ni mteja mzuri sana wa bidhaa zangu na mwaminifu,tulipatana mtandaoni ila tulikua hatufahamiani kwa sura.
Iko siku nilikua na order kubwa napeleka mkoa wake,na yeye akaunganisha na za kwake sababu nilimpa taarifa nina safari ya kwenda huo mkoa kama anakitu anahitaji nimbebe haita mgharimu pesa ya usafiri.
Alikua busy sana so alipata nafasi mida imekwenda ila sikujali nilimpelekea bidhaa zake.
Kwenye malipo aliniambia hiyo sehemu siyo salama sana niingie kwenye gari nihakiki pesa zangu.
Niligoma sababu nilikua namwamini nilitaka anipe tu nitahakiki mbele ya safari.
Alinisisitiza niingie,nikagoma "Ambition mbona mwoga mwoga kama sio mwanaume bana".
Liwalo na liwe nikaingia.

Aisee sijui alipata wapi ujasiri,alianza kunisifia marashi,akitaka kujua yanauzwa wapi,mara umependeza unaonekana unajipenda sana,mara sauti yako haifanani na wewe,huyo dada ulienae anafaidi kweli kuwa na mwanaume kama wewe, blah blah kibao.

Aliniganda kama ruba simu kila saa kila dakika mpaka nikajuta kuonana nae.
Na ikawa ndio mwanzo wa kupoteza mteja mwaminifu.
 
Daah pole Sana kiongozi,Hawa viumbe wang'anganizi Sana
 
Visa vikaanza kwenye upandaji wa pikipiki QUEEN akakaa ki kike na kunisogelea very close huku mikono yake kaegesha mapegani kwangu HAPA CHALE ZA UUME ZIKAANZA KUCHEZA

Wakati pikipiki ikiwa inamove binti akabadllisha mkao kutoka mkao wa kike kuja mkao wa kiume huku pikiipiki inatembea nikajiuliza ila sikumaind kivile nikakaushaa,

Baada ya kubadili mkao demu akanisiogelea very close yaani utadhani nimebeba watu wa 4 kumbe mmoja tu nikahsi huyu sio bure anataka mkuyenge nikajismea ngoja tuone yajayo ,

Demu akanilipa pesa nikachukua halafu nikawa busy simjali wala nini ,

NIKIWA gheto nimepumzika akaja tena mtoto wa dada ake akaniambia mama mdogo amenituma nikuletee hii karatasi amesema umjibu sasa hv ,

karatasi ilikuwa imeandikwa hivi " WEWE KAKAKA HAKIKA NIMETOKEKEA KUKUPENDA NAOMBA TUANZISHE URAFIKI WA MAHUSIANO"

Nikajisemea ukisikia hakuna mkate mgumu mbele ya chai ndo hapa sasa ,

WAKUU nilichapa mzigo kutwa mchana na usiku

anyway ila TULISHA TEMANA KITAMBOOO IMEBAKI STORI kuwa TULIKUWAGAAAA!
Umezidisha mdalasini kwenye hii chai, yaan pikipiki ina move mtu kabadili mkao
 
Umezidisha mdalasini kwenye hii chai, yaan pikipiki ina move mtu kabadili mkao
Nimenena vitu real mkuu hakukuwa na profit yoyote kuongeza mambo ambayo hayakutokea , ukweli hicho kitendo sijawah kukutana nacho na ni mara ya kwanza anyway hata mh jiwe alipokuwa hai na angali madarakani mlimuita dikteta na majina mengi ya hovyo ila alipofariki na uongozi wa nchi kwenda kwa mama yetu nae alipoanza na balaa la tozo ndo mkajirudina kujua kuwa mh jiwe alikuwa MTU MWEMA NA SIO DIKTETA TENA,
Ebana amini unavyoamini .
 
Back
Top Bottom