Wanaume tuliowahi kutongozwa tujuane

Wanaume tuliowahi kutongozwa tujuane

Mara nyingi.

Inayostand out hii hapa.

Dogo ana tako (Namcheki FB natuma picha)

Yuko la saba nipo form five akaniandikia barua.

Sikuijibu.

Majirani wa eneo wakajua. Ikawa ni komedi ya mtaani.

Namaliza chuo nakuta binti kazalishwa.

Tukikutana zinakua zile za kama kutakana zaidi ya miaka miwili tukawa tunaleteana hizi komedi.

Baada ya miaka yote juzi ndiyo tumeshonana.

Edit: Nimeipata picha

Screenshot_2021-11-18-08-43-13-40.jpg
 
Nilitongozwa na mke wa rafikiangu kipenzi, nilipo kwenda kumtembelea kibaha mail moja daah, ananiambia alipambana mbaka akapata nambayangu kwenye Cm ya mumewake.

Tulikuwa tukiongea na mshkaji ananipa wife wake naongea nae lakini alikuwa hajawahi kuniona.
Nilipo watembelea kwao ndio tukaonana kwa mara ya kwanza, hapa ninavyo andika mbaka nywele zinasimama jamaa tumeshibana ni mwanangu sana sana sana.

Demu anaendaresi mbaka nawaza ametumwa anipime ama vipi daah.

Wanawake Allah anawaona.
 
Na mimi nitoe testimony yangu…imeshawahi kutokea ila mara nyingi inakuwa indirect…ila sasa last weekend nikiwa kwa nite club kubwa kwa sasa dar…tumekaa kwenye meza wanaume watupu kwa mbele kulikuwa na meza ina wadada mixer wanaume…sisi tuliwakuta basi tulivyofika kuna mmoja wa wale wadada alikuwa ananicheki sana ila mimi sikujua mpaka mshkaji wangu aliponiambia basi bana nikawa na mimi namcheki kiaina nikajua kweli amewasha full na ilikuwa ni pisi ya moto sana…as time goes nikawa naenda washrooms si akanifata akanichana live amenielewa nilikuwa nimeshika simu akaichukua bila kuomba akasave namba baada ya hapo…ni babe za kutosha from morning to evening…ni pisi ya kishua haswaa…never spend my money on her
Watu mnafaidi sana aisee. Mimi ninafeli wapi mbona sikutani na hizo angle.
 
Umefanana na baba au mama?? Body je ikoje?? Kichwani nako unatema points au ndio ilimradi sauti unayo maneno yatakuja tu yenyewe???
Aisee1 Balaa sana, kwamba ni kuwa na sauti maneno yatakuja yenyewe.
on serious note, kwa hiyo Mkuu Body inapaswa iweje? Six Packs? kwenda GYM kutafaa.
Suala la kutema pointi mkuu hapa si kudevelop tabia ya kusoma vitabu sio?
 
Mke/demu wa rafiki haliwi ni kama mama ako tu, ila kama jamaa ni mshikaji we peleka moto mzee
Daah sijafikia uchizi kama huu mkuu namuheshimu sana mshkaji nawaza akijua daah naona atalia sana sitakikuwa sababu ya matatizo kwenye familia yake.
 
Pole na hongera sana na kazi za ujenzi
Wa TAIFA letu

Rejea mada apo juu:

#Ilikuwa mwanzoni mwa mwezi huu wa kumi na moja tarehe mbili, siku hiyo mwanangu alistahili kwenda klinick#
Usku wa tarehe moja mm na mama ake tulitofautiana kidogo ivo siku hiyo mke wangu akawa amegoma kumpeleka mtoto clinic,,

Basi nikasema isiwe taabu nikavaa zangu shati na suruari na koti [emoji1787][emoji1787] badae nikapiga neck tie, nikapewa vyeti na nguo ya kubobea clinic,,

Mzee baba nikawasha pikipiki na mwanangu mgongoni wa miaka miwili

Bahati nzuri niliwahi kufka zahanati buduma zilikuwa bado hazijaanza kutolewa maana ilikuwa bado saa moja Kama na dk ishirini ivi

Nikakaa zangu kwenye benchi uku nikiwa nimembeba mwanangu kifuani,gafla akapita dada mmoja (nurse)

Nurse: Kaka vp
Mimi: safi za asubuhi
Nurse: nzuri,karb
Mimi: asantee sana
Nurse: vp mtoto wetu anaumwa
Mm: hamna nimemleta clinic
Nurse:haaaaaaaàa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] akachekaa sanaa kwa sauti [emoji1787][emoji1787] Kisha akasema
"Nenda upande wa kule ndo clinic wanakaa"

Mimi: asantee [emoji1319][emoji1319] sikujua dada angu,
Wakati nataka kusimama akaniulza samahani Simu yako ina salio nimpigie dada wangu wa kazi nimweleze kitu nimesahau?

Nikamwambia hamna sina salio,,nikaulza mtandao gani anatumia akanambia halotel
Nikasema chukua vocha hii ujiunge mpigie

Nurse: asantee sana Kaka angu
Mimi: usjal sawaa
Nurse:niachie namba ako basi
Mm:0784034,,,,,6
Nurse: asantee, ngoja niingie mzigoni apa badae
Mimi😛owa kazi njema
Nurse: malezi mema pia
Mimi: asantee [emoji1319][emoji1319]

Basi wajomba ile nataka kusepa zangu home baada ya kupima mwanangu,,simu inaita oohoo kuangalia namba ngeni
Kumbe imetuma na meseji sikuiskia

Ndugu zangu wanawake wanajua kupiga mistari,,sikutarajia maneno aliyokuwa ANAONGEA yule nurse na kuandka

Ninachokumbuka nikuombwa nimpeleke mtoto nyumban alafu nirudi uku nikipewa elfu tano ya mafuta kupitia Airtel money

Sikuwa na ujanja wa kuulza kuna shida gani,japo nilijibu maswali yake kama mwanaume,,na yeye akiwa Kama mwanamke

Saa kumi na moja simu inaita,,,napokea nalaumiwa kwa nn sijarudi? Nikamjbu nilikuwa na kazi nyingi ila Sasa hivi niko undo

Akanitaka niende sehem ambayo naijua vizuri ,,ni mtaa fulani karbu na mtaa jirani
Nikawasha pikipiki adi pale namkuta amekaa peke ake,akiwa ameshavua nguo za kazi

Akanitaka tusogee adi nyumban kwake,nikambeba adi kwake daaah
Saa mbili kasoro usku ndo najiandaa kurudi nyumban haaaah,,wajomba sikutumia kinywaji chochote tofauti na nanasi iliyotengenezwa nikiwepo palepale,,

Nilitoa sharti la kupima afya zetu nurse alikubali lakini ki ukweli alifunguka kuhusu kunipenda na kuhitaji tuwe pamoja

Adi leo naandka huu uzi wajomba mzigo nakula Kama kawaida [emoji851] kwani nurse anajielewa isitoshe hela ya kusuka anayo ,,hela ya mboga ipo na uwezo anao,

Japo naona anataka isiwe siri [emoji125][emoji125][emoji124] [emoji125] jambo ambalo siwez muda wowote naweza kimbia

Rejea uzi wetu pendwa wa KULA TUNDA KIMASIHARA

LETENI VISA VYENU WANAUME MLIO WAHI KUTONGOZWA
NB:AFYA ZETU NI IMARA NDO MAANA NILIKUBALI KULA MZIGO ADI SASA [emoji1319][emoji1319][emoji1319]
woyooooooooo... na mm nina kisa cha doctor MD..hospital ya mkoa...ntarudi kuleta kisa...Japo ninavyo vingi sana[emoji39]
 
Wakati fulani nilifanya interview ya kazi kupitia zoom conference (connection ya x wangu) then nikatakiwa kufika Tanga. Nimefika nikareport then nikakabidhiwa kwa team leader wangu pale ofisini ni lijidada fulani hivi la nguvu kiufup limekamilika kila IDARA. Akaniambia welcome Mr. ...... nafurahi kukutana nawe. Napenda wanaume wenye sura ya kiume na bla.....bla nyingi next weekend akanialika dinner Tanga beach hotel. Then ikaisha hiyo......mm
 
Nilitongozwa na mke wa rafikiangu kipenzi, nilipo kwenda kumtembelea kibaha mail moja daah, ananiambia alipambana mbaka akapata nambayangu kwenye Cm ya mumewake.

Tulikuwa tukiongea na mshkaji ananipa wife wake naongea nae lakini alikuwa hajawahi kuniona.
Nilipo watembelea kwao ndio tukaonana kwa mara ya kwanza, hapa ninavyo andika mbaka nywele zinasimama jamaa tumeshibana ni mwanangu sana sana sana.

Demu anaendaresi mbaka nawaza ametumwa anipime ama vipi daah.

Wanawake Allah anawaona.
Usije ukatembea naye jamaa atajua tu
 
Back
Top Bottom