Pole na hongera sana na kazi za ujenzi
Wa TAIFA letu
Rejea mada apo juu:
#Ilikuwa mwanzoni mwa mwezi huu wa kumi na moja tarehe mbili, siku hiyo mwanangu alistahili kwenda klinick#
Usku wa tarehe moja mm na mama ake tulitofautiana kidogo ivo siku hiyo mke wangu akawa amegoma kumpeleka mtoto clinic,,
Basi nikasema isiwe taabu nikavaa zangu shati na suruari na koti [emoji1787][emoji1787] badae nikapiga neck tie, nikapewa vyeti na nguo ya kubobea clinic,,
Mzee baba nikawasha pikipiki na mwanangu mgongoni wa miaka miwili
Bahati nzuri niliwahi kufka zahanati buduma zilikuwa bado hazijaanza kutolewa maana ilikuwa bado saa moja Kama na dk ishirini ivi
Nikakaa zangu kwenye benchi uku nikiwa nimembeba mwanangu kifuani,gafla akapita dada mmoja (nurse)
Nurse: Kaka vp
Mimi: safi za asubuhi
Nurse: nzuri,karb
Mimi: asantee sana
Nurse: vp mtoto wetu anaumwa
Mm: hamna nimemleta clinic
Nurse:haaaaaaaàa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] akachekaa sanaa kwa sauti [emoji1787][emoji1787] Kisha akasema
"Nenda upande wa kule ndo clinic wanakaa"
Mimi: asantee [emoji1319][emoji1319] sikujua dada angu,
Wakati nataka kusimama akaniulza samahani Simu yako ina salio nimpigie dada wangu wa kazi nimweleze kitu nimesahau?
Nikamwambia hamna sina salio,,nikaulza mtandao gani anatumia akanambia halotel
Nikasema chukua vocha hii ujiunge mpigie
Nurse: asantee sana Kaka angu
Mimi: usjal sawaa
Nurse:niachie namba ako basi
Mm:0784034,,,,,6
Nurse: asantee, ngoja niingie mzigoni apa badae
Mimi😛owa kazi njema
Nurse: malezi mema pia
Mimi: asantee [emoji1319][emoji1319]
Basi wajomba ile nataka kusepa zangu home baada ya kupima mwanangu,,simu inaita oohoo kuangalia namba ngeni
Kumbe imetuma na meseji sikuiskia
Ndugu zangu wanawake wanajua kupiga mistari,,sikutarajia maneno aliyokuwa ANAONGEA yule nurse na kuandka
Ninachokumbuka nikuombwa nimpeleke mtoto nyumban alafu nirudi uku nikipewa elfu tano ya mafuta kupitia Airtel money
Sikuwa na ujanja wa kuulza kuna shida gani,japo nilijibu maswali yake kama mwanaume,,na yeye akiwa Kama mwanamke
Saa kumi na moja simu inaita,,,napokea nalaumiwa kwa nn sijarudi? Nikamjbu nilikuwa na kazi nyingi ila Sasa hivi niko undo
Akanitaka niende sehem ambayo naijua vizuri ,,ni mtaa fulani karbu na mtaa jirani
Nikawasha pikipiki adi pale namkuta amekaa peke ake,akiwa ameshavua nguo za kazi
Akanitaka tusogee adi nyumban kwake,nikambeba adi kwake daaah
Saa mbili kasoro usku ndo najiandaa kurudi nyumban haaaah,,wajomba sikutumia kinywaji chochote tofauti na nanasi iliyotengenezwa nikiwepo palepale,,
Nilitoa sharti la kupima afya zetu nurse alikubali lakini ki ukweli alifunguka kuhusu kunipenda na kuhitaji tuwe pamoja
Adi leo naandka huu uzi wajomba mzigo nakula Kama kawaida [emoji851] kwani nurse anajielewa isitoshe hela ya kusuka anayo ,,hela ya mboga ipo na uwezo anao,
Japo naona anataka isiwe siri [emoji125][emoji125][emoji124] [emoji125] jambo ambalo siwez muda wowote naweza kimbia
Rejea uzi wetu pendwa wa KULA TUNDA KIMASIHARA
LETENI VISA VYENU WANAUME MLIO WAHI KUTONGOZWA
NB:AFYA ZETU NI IMARA NDO MAANA NILIKUBALI KULA MZIGO ADI SASA [emoji1319][emoji1319][emoji1319]