Wanaume tuliowahi kutongozwa tujuane

Somo: Wababa tupeleke watoto clinic... sawa afisa ustawi jamii.
 
Wengine mnafanywa kuwa project za nguvu za giza.

Anachukua shahawa zako anazipeleka anakokujua yeye.

Wewe unajisifu umebandua pisi kali, kumbe umeshafanywa kiwanda cha shahawa cha kuzimu.

Muwe makini. Sio wote wanaowatongoza wanawatakia mema.
 
Aisee1 Balaa sana, kwamba ni kuwa na sauti maneno yatakuja yenyewe.
on serious note, kwa hiyo Mkuu Body inapaswa iweje? Six Packs? kwenda GYM kutafaa.
Suala la kutema pointi mkuu hapa si kudevelop tabia ya kusoma vitabu sio?
Hahahaha mwili ukijengeka vizuri huwa unaongeza mvuto japo kila mtu ana taste yake.... ila sasa kama ndio mnene kama pepe kale halafu mfupi itabidi upambane sana ndio uweze kutongozwa
 
So sai uko na wateja matapeli? Aka scammers!?
 
Aisee! jioni nitapita GYM kwa ajili ya usajili, niujenge mwili ujengeke.
Cha msingi ni wewe kucheki na unaetaka kumvutia, si unajua sisi hatutabiriki?? Kuna wanaopenda vitambi sasa usije ukatengeneza packs kumbe ye anapenda kitambi cha kufutia futia simu
 
Cha msingi ni wewe kucheki na unaetaka kumvutia, si unajua sisi hatutabiriki?? Kuna wanaopenda vitambi sasa usije ukatengeneza packs kumbe ye anapenda kitambi cha kufutia futia simu
Aiisee! basi nitafanya mazoezi kimkatai ili niwe na six packs pasipo kuathiri kitambi.
 
Week iliyopita nimekutana na demu mtaani ,kwenye kusalimiana akaniomba namba ya simu nikampa ,usiku akaanza kunichatisha,akaniambia namba yako sioni WhatsApp ungenitumia hata picha kama 3 ,nikamwambia situmii WhatsApp but natumia kwa namba nyingine ,kesho yake akaanza aaah kama vipi tuonane tukiwa na malengo tutafika mbali [emoji2].


Mimi simjibu asubuhi akisalimia najibu salamu tu ,cha ajabu anaanza kufoka kama tulikuwa wapenzi vile eti kwanini hujibu msg zangu
 
Haaaa vp pisi hailipi nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…