Wanaume tuliowahi kutongozwa tujuane

Mmoja aliniomba nimkopeshe kiasi fulani cha pesa akidai ana dharura. Basi nikampatia na baadae nikamtumia ujumbe kuwa hiyo pesa nimempatia bure, sio mkopo. Basi maisha yakaendelea. Tukikutana basi ana nichangamkia huyo. Mi nikawa nachukulia poa kuwa nimeongeza rafiki kwa kuwa tayari kumsaidia wakati akiwa na shida.

Mara nikaanza kukaribishwa nyumbani, Mara nimetumiwa picha akiwa kajilaza kitandani na ujumbe juu " karibu tulale" .

Nikaona ohoo! Sasa hii inataka kuwa balaa!! Nisipokuwa makini nitajikuta nipo kwenye ule uzi wa JF wa "Kula tunda kimasihara" nikitoa ushuhuda!!
 
Honestly speaking sijawahi kutongozwa.. au maybe nishatongozwa..ila pasipo kujua
 
Nikiweka ukaribu au nikiwa karibu na wanawake, natongozwa. Ndo maana mara nyingi sichangamani nao. Afu kuna wanawake wanatongoza kibabe na kwa vitendo.

Kuna mmoja alinizoea, wakati tumekaa, eti ananifunulia sketi kuanzia mguuni mpaka kwenye paja, ananiambia tazama, ananiringishia kuwa na yeye anavinyweleo. Afu eti ananiambia nipitishe mkono(nimpapase) nione vilivo vzr, nikagoma. Nilivogoma akamaindi, (alikasirika sana).

Na wengine wananiganda kwa staili zao wanazozijua wenyewe.

Kiukweli mimi, mwanamke akijileta au akionesha dalili za kama kuniganda, hata kama nilikuwa namuelewa, hamu naye inaisha kabisa hata nashindwa kumtongoza, sijui ni kwanini.

Mimi nikiwahi kumuanza kumtongoza mwanamke ndo nakuwa naham naye.
 
Week iliyopita nimekutana na demu mtaani ,kwenye kusalimiana akaniomba namba ya simu nikampa ,usiku akaanza kunichatisha,akaniambia namba yako sioni WhatsApp ungenitumia hata
Jichunge na wallet yako mkuu! Mwisho wa mwaka huu anatafuta pa kuponea asiwe mpweke na akose mtu wa kumtoa out..
 
Acha uzinifu
 
uzinzi umetamalaki nanimekuwa kiti cha kawada, Sodoma na Gomora ilikuwa hivi hivi
 
mkuu uko sawa wako wengi ila kuniaza inakuwa ni ngumu sana, make muda wote nikoserius sichekang hovyo hovyo.
 
Na hiyo ndio asili ya jinsia me.
 
Aiseee sio mchezo
Mkuu niliwahi kula tunda kimasihara,, kuna kipindi nilienda Tp nachingwea nyumba niliyofikia kulikuwa mdada jirani ,, dada yule tulizoena tukapeana namba za simu tukawa tunachati sana,, kuna siku akaniite nyumbn kwenda kula,, akaweka chakula mezani baada ya kunawa nichota chakula na kijiko nikamlisha na yeye akanilisha ,,kilichofuata ni kugegedena. Hatukutongozanaa hata kidogo
 
ukimaliza kula namba nipasie mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…