Wanaume tuliowahi kutongozwa tujuane

Wanaume tuliowahi kutongozwa tujuane

kopo la chumvi

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2021
Posts
257
Reaction score
464
Pole na hongera sana na kazi za ujenzi
Wa TAIFA letu

Rejea mada apo juu:

#Ilikuwa mwanzoni mwa mwezi huu wa kumi na moja tarehe mbili, siku hiyo mwanangu alistahili kwenda klinick#
Usku wa tarehe moja mm na mama ake tulitofautiana kidogo ivo siku hiyo mke wangu akawa amegoma kumpeleka mtoto clinic,,

Basi nikasema isiwe taabu nikavaa zangu shati na suruari na koti [emoji1787][emoji1787] badae nikapiga neck tie, nikapewa vyeti na nguo ya kubobea clinic,,

Mzee baba nikawasha pikipiki na mwanangu mgongoni wa miaka miwili

Bahati nzuri niliwahi kufka zahanati buduma zilikuwa bado hazijaanza kutolewa maana ilikuwa bado saa moja Kama na dk ishirini ivi

Nikakaa zangu kwenye benchi uku nikiwa nimembeba mwanangu kifuani,gafla akapita dada mmoja (nurse)

Nurse: Kaka vp
Mimi: safi za asubuhi
Nurse: nzuri,karb
Mimi: asantee sana
Nurse: vp mtoto wetu anaumwa
Mm: hamna nimemleta clinic
Nurse:haaaaaaaàa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] akachekaa sanaa kwa sauti [emoji1787][emoji1787] Kisha akasema
"Nenda upande wa kule ndo clinic wanakaa"

Mimi: asantee [emoji1319][emoji1319] sikujua dada angu,
Wakati nataka kusimama akaniulza samahani Simu yako ina salio nimpigie dada wangu wa kazi nimweleze kitu nimesahau?

Nikamwambia hamna sina salio,,nikaulza mtandao gani anatumia akanambia halotel
Nikasema chukua vocha hii ujiunge mpigie

Nurse: asantee sana Kaka angu
Mimi: usjal sawaa
Nurse:niachie namba ako basi
Mm:0784034,,,,,6
Nurse: asantee, ngoja niingie mzigoni apa badae
Mimi😛owa kazi njema
Nurse: malezi mema pia
Mimi: asantee [emoji1319][emoji1319]

Basi wajomba ile nataka kusepa zangu home baada ya kupima mwanangu,,simu inaita oohoo kuangalia namba ngeni
Kumbe imetuma na meseji sikuiskia

Ndugu zangu wanawake wanajua kupiga mistari,,sikutarajia maneno aliyokuwa ANAONGEA yule nurse na kuandka

Ninachokumbuka nikuombwa nimpeleke mtoto nyumban alafu nirudi uku nikipewa elfu tano ya mafuta kupitia Airtel money

Sikuwa na ujanja wa kuulza kuna shida gani,japo nilijibu maswali yake kama mwanaume,,na yeye akiwa Kama mwanamke

Saa kumi na moja simu inaita,,,napokea nalaumiwa kwa nn sijarudi? Nikamjbu nilikuwa na kazi nyingi ila Sasa hivi niko undo

Akanitaka niende sehem ambayo naijua vizuri ,,ni mtaa fulani karbu na mtaa jirani
Nikawasha pikipiki adi pale namkuta amekaa peke ake,akiwa ameshavua nguo za kazi

Akanitaka tusogee adi nyumban kwake,nikambeba adi kwake daaah
Saa mbili kasoro usku ndo najiandaa kurudi nyumban haaaah,,wajomba sikutumia kinywaji chochote tofauti na nanasi iliyotengenezwa nikiwepo palepale,,

Nilitoa sharti la kupima afya zetu nurse alikubali lakini ki ukweli alifunguka kuhusu kunipenda na kuhitaji tuwe pamoja

Adi leo naandka huu uzi wajomba mzigo nakula Kama kawaida [emoji851] kwani nurse anajielewa isitoshe hela ya kusuka anayo ,,hela ya mboga ipo na uwezo anao,

Japo naona anataka isiwe siri [emoji125][emoji125][emoji124] [emoji125] jambo ambalo siwez muda wowote naweza kimbia

Rejea uzi wetu pendwa wa KULA TUNDA KIMASIHARA

LETENI VISA VYENU WANAUME MLIO WAHI KUTONGOZWA
NB:AFYA ZETU NI IMARA NDO MAANA NILIKUBALI KULA MZIGO ADI SASA [emoji1319][emoji1319][emoji1319]
 
Aiseee sio mchezo

Mimi imetokea juzi hapa wakati natoka kuangalia mechi ya man u na man city nipo nawashikaji zangu wanne tupo njiani tunachambua mechi mala tukasikia kelele kwa mbali mdada anaita kwanguvu kabisa wewe kakaaa uliyevaa T shirt ya blue simama nikasimama mdada akaja akaniomba namba nikampa baada ya hapo nikaanza kutembezewa mistari sio kawaida [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]dada alitongoza mpk mwamba nikashindwa kuchomoa ,ila sijamla bado mpaka nipime kwanza
 
U
Mbona umetongozwa kiurahisi sanaa, wewe ungekua demu boda boda wote wangekupitia wewe ni Eazy goer, yaani siku ya kwanza paka unavuliwa nguo tena nyumbani kwa demu, mwenyewe duh
 
Mimi imetokea juzi hapa wakati natoka kuangalia mechi ya man u na man city nipo nawashikaji zangu wanne tupo njiani tunachambua mechi mala tukasikia kelele kwa mbali mdada anaita kwanguvu kabisa wewe kakaaa uliyevaa T shirt ya blue simama nikasimama mdada akaja akaniomba namba nikampa baada ya hapo nikaanza kutembezewa mistari sio kawaida [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]dada alitongoza mpk mwamba nikashindwa kuchomoa ,ila sijamla bado mpaka nipime kwanza
Watu Hawa ni noma,pima kwnza alafu weka mrejesho mkuu tafadhali
 
Baada ya kuachana na mzazi mwenzangu sikuwa na plani ya kuoa tena,

Nikiwa nimepanga kwenye nyumba flan mitaa ya hapa karibu na DM PHARMACY nilijitahd kuji keep busy na kazi kuliko insu za mapenzi ,

ratiba yangu ilikuwa ni saa 7 pm naenda joj narudi 3 am nalala gheto until 111 am nikiamka sikai home ni misele na BODA langu mwanzo mwenga!,

Basi bhana kumbe recent 3 or 4 days ago kuna familia zilihamia hapo nilipopanga kuna kibinti flan amaizing kinaitwa QUEEN kikawa kimenipenda ila kunipata hakawezi kutokana na ratiba yangu niko busy muda wote,

Visa vikaanza sku moja nikiwa nimelala saa 3 asubuh QUEEN akamtuma mtoto wa dada ake aje kuniambia mamdogo anahtaji usafiri kwa vili nilikuwa nimechoka nikamjibu nenda kamwambie pikipiki mbovu (NILIMDANGANYA) basi siku ikapita another day akaja yeye mwenyewe akagonga mlango nikafungua akasema anahtaji usafiri nimpelekeke maeneo ya makuti , japo kivivu nikafanya kama alivyotaka ,

INAENDELEA .....
 
Endelea bas naisubir
 
Visa vikaanza kwenye upandaji wa pikipiki QUEEN akakaa ki kike na kunisogelea very close huku mikono yake kaegesha mapegani kwangu HAPA CHALE ZA UUME ZIKAANZA KUCHEZA

Wakati pikipiki ikiwa inamove binti akabadllisha mkao kutoka mkao wa kike kuja mkao wa kiume huku pikiipiki inatembea nikajiuliza ila sikumaind kivile nikakaushaa,

Baada ya kubadili mkao demu akanisiogelea very close yaani utadhani nimebeba watu wa 4 kumbe mmoja tu nikahsi huyu sio bure anataka mkuyenge nikajismea ngoja tuone yajayo ,

Demu akanilipa pesa nikachukua halafu nikawa busy simjali wala nini ,

NIKIWA gheto nimepumzika akaja tena mtoto wa dada ake akaniambia mama mdogo amenituma nikuletee hii karatasi amesema umjibu sasa hv ,

karatasi ilikuwa imeandikwa hivi " WEWE KAKAKA HAKIKA NIMETOKEKEA KUKUPENDA NAOMBA TUANZISHE URAFIKI WA MAHUSIANO"

Nikajisemea ukisikia hakuna mkate mgumu mbele ya chai ndo hapa sasa ,

WAKUU nilichapa mzigo kutwa mchana na usiku

anyway ila TULISHA TEMANA KITAMBOOO IMEBAKI STORI kuwa TULIKUWAGAAAA!
 
Pole na hongera sana na kazi za ujenzi
Wa TAIFA letu

Rejea mada apo juu:

#Ilikuwa mwanzoni mwa mwezi huu wa kumi na moja tarehe mbili, siku hiyo mwanangu alistahili kwenda klinick#
Usku wa tarehe moja mm na mama ake tulitofautiana kidogo ivo siku hiyo mke wangu akawa amegoma kumpeleka mtoto clinic,,

Basi nikasema isiwe taabu nikavaa zangu shati na suruari na koti [emoji1787][emoji1787] badae nikapiga neck tie, nikapewa vyeti na nguo ya kubobea clinic,,

Mzee baba nikawasha pikipiki na mwanangu mgongoni wa miaka miwili

Bahati nzuri niliwahi kufka zahanati buduma zilikuwa bado hazijaanza kutolewa maana ilikuwa bado saa moja Kama na dk ishirini ivi

Nikakaa zangu kwenye benchi uku nikiwa nimembeba mwanangu kifuani,gafla akapita dada mmoja (nurse)

Nurse: Kaka vp
Mimi: safi za asubuhi
Nurse: nzuri,karb
Mimi: asantee sana
Nurse: vp mtoto wetu anaumwa
Mm: hamna nimemleta clinic
Nurse:haaaaaaaàa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] akachekaa sanaa kwa sauti [emoji1787][emoji1787] Kisha akasema
"Nenda upande wa kule ndo clinic wanakaa"

Mimi: asantee [emoji1319][emoji1319] sikujua dada angu,
Wakati nataka kusimama akaniulza samahani Simu yako ina salio nimpigie dada wangu wa kazi nimweleze kitu nimesahau?

Nikamwambia hamna sina salio,,nikaulza mtandao gani anatumia akanambia halotel
Nikasema chukua vocha hii ujiunge mpigie

Nurse: asantee sana Kaka angu
Mimi: usjal sawaa
Nurse:niachie namba ako basi
Mm:0784034,,,,,6
Nurse: asantee, ngoja niingie mzigoni apa badae
Mimi😛owa kazi njema
Nurse: malezi mema pia
Mimi: asantee [emoji1319][emoji1319]

Basi wajomba ile nataka kusepa zangu home baada ya kupima mwanangu,,simu inaita oohoo kuangalia namba ngeni
Kumbe imetuma na meseji sikuiskia

Ndugu zangu wanawake wanajua kupiga mistari,,sikutarajia maneno aliyokuwa ANAONGEA yule nurse na kuandka

Ninachokumbuka nikuombwa nimpeleke mtoto nyumban alafu nirudi uku nikipewa elfu tano ya mafuta kupitia Airtel money

Sikuwa na ujanja wa kuulza kuna shida gani,japo nilijibu maswali yake kama mwanaume,,na yeye akiwa Kama mwanamke

Saa kumi na moja simu inaita,,,napokea nalaumiwa kwa nn sijarudi? Nikamjbu nilikuwa na kazi nyingi ila Sasa hivi niko undo

Akanitaka niende sehem ambayo naijua vizuri ,,ni mtaa fulani karbu na mtaa jirani
Nikawasha pikipiki adi pale namkuta amekaa peke ake,akiwa ameshavua nguo za kazi

Akanitaka tusogee adi nyumban kwake,nikambeba adi kwake daaah
Saa mbili kasoro usku ndo najiandaa kurudi nyumban haaaah,,wajomba sikutumia kinywaji chochote tofauti na nanasi iliyotengenezwa nikiwepo palepale,,

Nilitoa sharti la kupima afya zetu nurse alikubali lakini ki ukweli alifunguka kuhusu kunipenda na kuhitaji tuwe pamoja

Adi leo naandka huu uzi wajomba mzigo nakula Kama kawaida [emoji851] kwani nurse anajielewa isitoshe hela ya kusuka anayo ,,hela ya mboga ipo na uwezo anao,

Japo naona anataka isiwe siri [emoji125][emoji125][emoji124] [emoji125] jambo ambalo siwez muda wowote naweza kimbia

Rejea uzi wetu pendwa wa KULA TUNDA KIMASIHARA

LETENI VISA VYENU WANAUME MLIO WAHI KUTONGOZWA
NB:AFYA ZETU NI IMARA NDO MAANA NILIKUBALI KULA MZIGO ADI SASA [emoji1319][emoji1319][emoji1319]
ukichunguza kwa umakini atakuwa ni single mother... hao huwa na stress sana wakiachwa
 
Back
Top Bottom