Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka nae jamaa ni chuma,, sio jambo la kitoto chupa kuletwa na mawimbi
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂🙌 Loh..! Umejua kunichekesha kwa sauti usiku wote huu..!!Na mrogwe tu,mmezidi.
Inadaiwa chupa hizi moja ikiwa na picha zimekutwa kwenye moja ya fukwe huko Tanga
Inaashiria zimerejeshwa nchi kavu na mawimbi ya bahati
View attachment 989733
Huyo Jamaa kwenye Chupa ni chuma sana Yani azid kupambana
Pole sana tajiriWanaume matajiri tunapaswa kuwa makini Sana,utajiri some time unatia hofu Sana Kama mimi hapa sitaki kabisa kuoa nanunua tu malaya ila nimeshazalisha wanawake watatu,mtu umepambana umekuwa tajiri,unaoa mwanamke anakuroga Kama hivi,kwa mwendo huu ubachela siachi
Sent using Jamii Forums mobile app