Wanaume tuna kazi sana, huyu mwenzetu aliwekwa kweye chupa na kutupwa baharini

Wanaume tuna kazi sana, huyu mwenzetu aliwekwa kweye chupa na kutupwa baharini

huyo mganga akitaka hadi mav*zi yangu nitakunyolea ukampe mi nataka uniweke hadi kwenye yai
wanawake niwaone kama wanaume
Mweeeeeh!![emoji134][emoji134][emoji134]
 
kama hela haitoshi we niambie nitakuongezea
ukipata limbwata nilishe tu usijali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sitaki kuamini majicho yangu walah!!
Basi nimeghairi baby.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sitaki kuamini majicho yangu walah!!
Basi nimeghairi baby.
Hebu amini leo yaani we niroge tu
 
Ukiniroga sitachepuka
nitatulia
nitakuanzishia hadi thread humu ndani
Kwahiyo hayo hayawezi kutokea hadi nikuroge!!![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Wanaume matajiri tunapaswa kuwa makini Sana,utajiri some time unatia hofu Sana Kama mimi hapa sitaki kabisa kuoa nanunua tu malaya ila nimeshazalisha wanawake watatu,mtu umepambana umekuwa tajiri,unaoa mwanamke anakuroga Kama hivi,kwa mwendo huu ubachela siachi

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hujui kuchagua wanawake wote hawawezi kuwa wabay
 
alafu mpiga picha ni mwanamke
Screenshot_20190109-173928.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio lengo langu ila ukweli ni kwamba wanawake wengi wa kiislamu ndo wenye kupenda mambo haya.
Mnavyowasema Wanawake wa kichaga humu kwamba wanaua waume zao kumbe wengi ni Muslim?Mnahamisha sana magoli,ubaya hauna kwao wala hauna kabila mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mwenye kucha zake hapo
Ajitahidi kuzifanyia usafi
 
Wanaume matajiri tunapaswa kuwa makini Sana,utajiri some time unatia hofu Sana Kama mimi hapa sitaki kabisa kuoa nanunua tu malaya ila nimeshazalisha wanawake watatu,mtu umepambana umekuwa tajiri,unaoa mwanamke anakuroga Kama hivi,kwa mwendo huu ubachela siachi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzetu inaonyesha utajiri wako wa midevu na minywele kichwani,sidhani kama huo utajiri unaojisifia nao ni wa mali.
 
Back
Top Bottom