Wanaume tunaopenda fashion ni rahisi kupoteza ubingwa

Havihusiani labda usema wanaume mnapenda pesa na hamzitafuti ndo mtapoteza ubingwa
 
Vizuri umetolea maelezo kwamba hawavai hereni wala vikukuu lakini ni manjemba yamekata na yapo gym, sura za kazi foward hazipiti, lakini sasa washaaga ubigwa wanapumuliwa kisogoni.
Kupoteza ubingwa ni maamuzi ya mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…