Mwanamume utakuwa Huna kazi kabisa. Yaani mishe zilivyozagaa namna hii nikae napanga chumba[emoji849]na dem akizama getto atashinda anafanya nini? Si wasugua miguu watamnasa na kumpandisha genye? Wadada kuweni serious at leastMwanaume kuvaa hereni ni zamani saivi niushamba , cheni ni zamani now ni ushamba , kuwa msafi na kupendeza kunukia ni moja sifa kwa mwanaume boxer ziwe safi, zinanukia ,chumba kiwe safi , nakila kitu chake kiwe kime arrangiwa powa
Kwa hiyo getto la msela liko shagalabagaMwanamume utakuwa Huna kazi kabisa. Yaani mishe zilivyozagaa namna hii nikae napanga chumba[emoji849]na dem akizama getto atashinda anafanya nini? Si wasugua miguu watamnasa na kumpandisha genye? Wadada kuweni serious at least
Acha uchafuuMwanamume utakuwa Huna kazi kabisa. Yaani mishe zilivyozagaa namna hii nikae napanga chumba[emoji849]na dem akizama getto atashinda anafanya nini? Si wasugua miguu watamnasa na kumpandisha genye? Wadada kuweni serious at least
Nakazia, mwanaume ukishaanza kusuka na kuvaa hereni tayari unakuwa na ukike ndani yakoKidume urembo uishie kwenye kuvaa saa tu na nguo smart
Ukiskia Gay azz muhfucka ndio kama huyo anaevaa vipuliNakazia, mwanaume ukishaanza kusuka na kuvaa hereni tayari unakuwa na ukike ndani yako
Wanazingua sana unakuta mwanaume nae anayo collection ya hereniUkiskia Gay azz muhfucka ndio kama huyo anaevaa vipuli
Kuwa msafi sawa,maswala ya ku-arrange room ni stori ingine..Mwanaume kuvaa hereni ni zamani saivi niushamba , cheni ni zamani now ni ushamba , kuwa msafi na kupendeza kunukia ni moja sifa kwa mwanaume boxer ziwe safi, zinanukia ,chumba kiwe safi , nakila kitu chake kiwe kime arrangiwa powa
Unaogopa kutonhozwa? Mbona kawaidaa watu wanatongoza mijitu ya gym sembuse wewe unaejipenda, kwanza urembo upo wa aina nyingi, kuchana nywele kwa mwanaume ataonekana mrembo tuu, kupaka mafuta au lotion bado ataonekana mrembo, kuvaa boxer bado ataonekana mrembo tuu so usiogope kutongozwaUrembo ni kwaajili ya wanawake.. mwanaume ukiwa mrembo membo lazima utongozwe
Ndio wapoπ π π collection...
Moise ππππIt's abnomarlity!Ndiyo maana warembo wanakimbia.Anaona mrembo yupo na mrembo mwenzie.
Aisee ni ushamba kuvaa cheniKuwa msafi sawa,maswala ya ku-arrange room ni stori ingine..
Nani kasema kuvaa cheni ni ushamba..nakupinga inategemea umevaa cheni gani na size gani.
Komba nchaka,nchaka tubu,lodeda usembo esi fonewe.Kwani nyi nchaka ooh kihoso, mimi mtoto wa mjini acha maneno yako arawaaa, tumekulia mjini kaka π π π
Nakazia hapaKidume urembo uishie kwenye kuvaa saa tu na nguo smart
Every one ana mambo yake, akifanya mwingine anakereka wakati yeye biΓ±afsi hayuko sawa.Kuwa msafi sawa,maswala ya ku-arrange room ni stori ingine..
Nani kasema kuvaa cheni ni ushamba..nakupinga inategemea umevaa cheni gani na size gani.
Kwa mtazamo wangu kuna vitu we have to left for opposition gender!Wanao vaa wavae occasionally kwenye maharusi huko.