Kuna lecturer mmoja alikua anavaa suti rangu za kike [emoji23][emoji23][emoji23] yaani tulikua tunachekaaa! Atakuja kavaa aqua blue, mara orange, pink...
Daaaaah kwa maana hiyo zinaanzia laki 4+, basi bhana nitashona hata kwa muha!Kuna uzi jukwaa hili hili nasikia $2000 ndio ya bei rahisi.
Kitu cha blue....
My sister upo? Missed u sana.Navy Blue is very elegant.
HahahaHujakutana na mtu amevaa suti ina rangi ya chama cha wanaokula rambirambi. Halafu kawekea na shati la njano. Lazima ukae.
Umesoma vibaya. $2000......milioni 4+Daaaaah kwa maana hiyo zinaanzia laki 4+, basi bhana nitashona hata kwa muha!
Huyo anaweza kuvamiwa na kundi la nyuki...Hujakutana na mtu amevaa suti ina rangi ya chama cha wanaokula rambirambi. Halafu kawekea na shati la njano. Lazima ukae.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] oopsUmesoma vibaya. $2000......milioni 4+
Hizi habari za rangi za mwaka huwa siziwezi.Rangi ambazo zinatrend kwenye suit kwa mwaka huu kuna brown Fulani inakuwa lite kido halafu kuna kaki na navy blue, hizo ni rangi ambazo kwa mwaka huu zinaonekana kukubalika sana
Ulisoma wapi babyKuna lecturer mmoja alikua anavaa suti rangu za kike [emoji23][emoji23][emoji23] yaani tulikua tunachekaaa! Atakuja kavaa aqua blue, mara orange, pink...
Yeeahp attire ni dress code ya mwanasheria... jambo la kuvaa model linaendana na dress code pia Mkuu, sio mtu unavaa nguo iliyobana kama tight ama ipo juu ya socks kama miguu ya kuku.? Nope sio dress code to lawyers, though kuvaa nguo inayoendana na mwili ni jambo zuri cause unaonekana smart na fashionable.! Being a lawyer&decent dress fashioning ni identical twins.Mkuu wewe ni lawyer?
Hivi suti nyeusi hua ni dress code yenu?
Ni kweli suruali isiwe 'modo' ikubane sana, inatakiwa iendane na mwili, sio pana sana wala ikubane sana.