Wanaume tunaopenda kuwa smart tusikose package hii

Hapo ongezea sunscreen, shower gel, serum, toner na scrub utakuwa umetisha..!!

Hapo kwenye hand cream ongezea na color less kucha zingโ€™ae na ka pink lip balm ๐Ÿ˜œ๐Ÿคฃ

Joannah sis Shem naye anatumia hand cream? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Kwahiyo ukitoka kuoga unajikungโ€™uta km mbwa basi ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Pia jitahidi kufanya waxing pubic hair, full body massage na steam bath angalau mara moja kwa mwezi.
Au tafuta mwanamke wa Tanga akufanyie kitu inaitwa "kusinga" walau mara moja kwa mwezi.
Wewe sasa ndo umeua ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Vijana wengi wanajitutumua kuonekana ni wanaume kwa tabia za uchafu huku wakitelekeza watoto , wakijipiga vifua kuwa na magamba kama kobe ndio uanaume .
Mangi mbona km umeumia nawe mdau wa hand cream nini ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Hapo ongezea sunscreen, shower gel, serum, toner na scrub utakuwa umetisha..!!

Hapo kwenye hand cream ongezea na color less kucha zingโ€™ae na ka pink lip balm ๐Ÿ˜œ๐Ÿคฃ

Joannah sis Shem naye anatumia hand cream? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Mmh mimi kwa kweli huwa ni ugomvi yeye akishapaka deodorant akiweka cologne yake kamaliza,nasema kila siku si uwe unapaka hata baseline hiyo mikono inapauka utasikia nani anataka kusweat?.....Kilichonishangaza mleta uzi kasahau kabisa kwapa na moisturiser ya vitamin C๐Ÿ˜
 
Dada unajitahidi kumzingatia shem ๐Ÿ˜ป
Ndiomana anapendeza na kunukia kitajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ