UMEMALIZA KILA KITU..!πKukinga ngozi dhidi ya nini Mkuu?
Kama ngozi yako imeathirika na unatumia kama tiba sioni tatizo.
Ila kama inatumika kwa shabaha ya kuifanya ngozi iwe nyororo, ipendeze, inukie, imeremete. Hapa ndio naweza kushangaa
Kukinga ngozi dhidi ya changamoto za afya ya ngozi. Ngozi yangu ni nyepesi kushambuliwa na mba. Hii sabuni na lotion imekuwa kingaKukinga ngozi dhidi ya nini Mkuu?
Kama ngozi yako imeathirika na unatumia kama tiba sioni tatizo.
Ila kama inatumika kwa shabaha ya kuifanya ngozi iwe nyororo, ipendeze, inukie, imeremete. Hapa ndio naweza kushangaa
Heeeeh!!!! kumbe hili nalo ni tatizo??Pengine asili ya ngozi yako. Lakini wengine ngozi zina shida. Kuna mtu ngozi kavu anapauka, angefanyaje? Mwingine mweusi tii anatoka ukoko, angefanyaje?
Na hand cream je?π€£Hii sabuni na lotion imekuwa kinga
Mshamba hachekwi lakini kumbuka π€£Ushamba tu unakusumbua
Hapana, hayo mafuta ni ya kiume. Hayafanyi mtu kung'aa na kuwa nyororo kama ya wanawake. Bali yanamuweka smart. Labda kwa vile huyajui.Kukinga ngozi dhidi ya nini Mkuu?
Kama ngozi yako imeathirika na unatumia kama tiba sioni tatizo.
Ila kama inatumika kwa shabaha ya kuifanya ngozi iwe nyororo, ipendeze, inukie, imeremete. Hapa ndio naweza kushangaa
Sometimes unaweza ukawa umejiathiri mwenyewe kwa matumizi ya hizo lotion ambazo nyingi zinakuwa zime contain chemicals zinazoenda kuua seli za ngozi zinazolinda afya ya ngozi.Kukinga ngozi dhidi ya changamoto za afya ya ngozi. Ngozi yangu ni nyepesi kushambuliwa na mba. Hii sabuni na lotion imekuwa kinga
hamna, kwanza kiasilia ngozi ya ME haihitaji matunzo kama ya KEKukinga ngozi dhidi ya nini Mkuu?
Kama ngozi yako imeathirika na unatumia kama tiba sioni tatizo.
Ila kama inatumika kwa shabaha ya kuifanya ngozi iwe nyororo, ipendeze, inukie, imeremete. Hapa ndio naweza kushangaa
Parachute π€£π€£π€£si yapo madukani siku hizi
Mkuu wanaandika yakiume ku-target soko.Hapana, hayo mafuta ni ya kiume. Hayafanyi mtu kung'aa na kuwa nyororo kama ya wanawake. Bali yanamuweka smart. Labda kwa vile huyajui.
hizo endocrine disruptors zipo kwenye KILA KITU, huwezi kuziepukaSometimes unaweza ukawa umejiathiri mwenyewe kwa matumizi ya hizo lotion ambazo nyingi zinakuwa zime contain chemicals zinazoenda kuua seli za ngozi zinazolinda afya ya ngozi.
Mwanasimba mwenzangu hapa umepuyanga.Kukinga ngozi dhidi ya nini Mkuu?
Kama ngozi yako imeathirika na unatumia kama tiba sioni tatizo.
Ila kama inatumika kwa shabaha ya kuifanya ngozi iwe nyororo, ipendeze, inukie, imeremete. Hapa ndio naweza kushangaa
Vipi unataka upakwe?Noma sana aisee....
Nilikuwa nadhani huwa ni wanawake tu wenye mafuta ya uso, mafuta ya kiwiliwili, mafuta ya mikono kumbe yapo kwa ajili ya wanaume pia.
Ngoja nizidi kujifunza maana nilidhani ninajua yote kuhusiana na mafuta nikaja kusikia kuwa kuna mafuta hata ya Pdiddy.
Kabisa mkuu ndio maana hata katika puberty stage kati ya mwanaume na mwanamke utaona asili inayojidhihirisha.hamna, kwanza kiasilia ngozi ya ME haihitaji matunzo kama ya KE
halafu asilimia kubwa ya matunzo ya ngozi ni kwenye mlo
ni katika kujiepusha na ngozi kavu na makunyanzi, pia chunusi, na makovu kovu
Sasa wote tukiwa na mikono laini kazi ngumu atafanya nani π π πMwanaume kutumia hand cream huo ni umama..!