ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
UMEMALIZA KILA KITU..!🙌Kukinga ngozi dhidi ya nini Mkuu?
Kama ngozi yako imeathirika na unatumia kama tiba sioni tatizo.
Ila kama inatumika kwa shabaha ya kuifanya ngozi iwe nyororo, ipendeze, inukie, imeremete. Hapa ndio naweza kushangaa