Wanaume tunaopenda kuwa smart tusikose package hii

Hapana mzee hii si kweli, kuna wadada wengi tu wanavunja ungo na wanakuwa na chunusi..
Hii unapotosha watu..
Na kuhusu chunusi ni mabadiliko ya homoni tu, na si vijana wa kiume wote hupata chunusi...
 
usiruhusu hiyo cognitive bias ya appeal to tradition ikuendeshe ushindwe kuwa na fikra huru

kule kwenye nyuzi za dini mbona tunakubaliana namna sahihi ya kufikiri ni ipi?

chunguza kwa kina kwanza.

hold yourself to your standards.
 
Hapana mzee hii si kweli, kuna wadada wengi tu wanavunja ungo na wanakuwa na chunusi..
Hii unapotosha watu..
Na kuhusu chunusi ni mabadiliko ya homoni tu, na si vijana wa kiume wote hupata chunusi...
Hiyo ita depend kam mwili utazalisha homoni ya melanin kwa wingi

Stage hii huweza kuathiri ngozi na kuleta upele na kuongezeka kwa mafuta kwenye ngozi.

Lakini kwa asilimia kubwa point ya kwanza ndio imekuwa na matokeo mengi kwa watu.
 
Hayo yanafaa kwa WANAUME WA DAR
 
I was like oh yeah, good, great until nilipofika kwenye hand cream!

Mdakuzi siku nikikukuta na hand cream utanieleza vizuri, nilishakwambia utumie body oil inatosha.
Mikono inaoshwa mara kwa mara ndio maana ina moisturizer yake ambayo ndio hiyo hand cream...
Zipo hand cream kwa ajili ya wanaume, kwa ajili ya ngozi ngumu za kiume...

Hakuna uwiano unapotumia moisturizer usoni halafu mikono imekakamaa kama ngozi ya kenge...

Kama una moist mwili mzima basi fanya mwili mzima tu..
 
Kumbe uzi wa màfuta! Nimepoteza muda bure.
 
Wabongo tulio wengi tuna primitive mindset ndio maana mpaka leo tunaamini chakula ni wali na ugali kidogo labda ndizi na makande vingine vyote tunaona havifai...yaani ni hivi mbongo akishaamini katika kitu fulani kumtoa katika hyo imani ni kazi sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…