Wanaume tunaopenda kuwa smart tusikose package hii

Sunscreen hapana mdogo wangu, zina cream zile zinang’arisha sitaki.

Shemeji yako ana chocolate (rangi) moja matata sitaki iharibike.
Ipi hiyo inang'arisha nikanunue haraka mbona sisi bado tupo weusi kama mkaa
 
Wanauza wanazidi kupungua aisee πŸ˜†πŸ˜†
 
Kwa sisi above 70 haituhusu maana badala ya kutengeneza ngozi unaweza ukaishia kubabuka...
 
Dove harufu yake sio poa but hiyo Jergens
 
Nikioga nikapaka duodorant yangu kwapani, futa la nazi juu ya ngozi, saa mkononi, nguo zimepigwa pasi, mkanda kiunoni, kiatu mguuni, nmechana kipilipili changu kichwani na uchebe plus kaunyunyu kidogo cha savage nimemaliza.

Hizo dove nikinunua zitaexpire nitasahau kutumia.
Kuna sabuni zinaitwa MEGA zina maandishi ya kiarabu, ni buku tu hazina harufu kali binafsi tangu nizijue nazipendelea sana.
[/QUOTE]
Sabuni ya rungu au family na cocoa butter crez mgando Mimi kwangu ni bora zaidi
 
Kuliko.kuhangaika na Mafuta Huwa nahangaika na matango,kitunguu swaumu,maji,matunda basi.

Sipaki Mafuta yeyote na Wala ngozi haijawahi pata shida yeyote sana sana Huwa wananiuliza natumia Mafuta gani nikiwaambia situmii hawaamini.

Msimu wa baridi ndio natumia Mafuta kidogo sema nimesahau jina 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…