Wanaume tunaopenda kuwa smart tusikose package hii

Imara ya mwisho kupaka mafuta. Ilikuwa nikiwa primary school
 
20250121_232238.jpg

20250121_230855.jpg
 
We jamaa unayeogea sabuni ya unga umeitengeza asubuhi yangu maua yako mkuu.sabuni ya unga ukiweka mkononi gafla mkono unapata joto fulan hiv,mkuu una ngozi ya mjusi si eti !
 
Kwa wale wanaume tunaopenda kuwa smart, nashauri tutumie hizi package zitakuweka smart sana bila kujali unafanya kazi gani na eneo gani.

Dove Gel Body Wash
View attachment 3207110
Hakikisha ni Secret, ujue pia kutofautisha fake na OG. Chupa ndogo inauzwa Sh.12,000 mpaka 15,000. Kubwa inauzwa Sh.20,000.

Jergens Utra Healing.
Haya mafuta ndio ninatumia mimi, nimeona matokeo mazuri sana. Usichukue Jergens yeyote tu bali chuku Utra Healing yenye Vitamin C, E na B5.
Bei yake sio kivile ni Sh.45,000 mpaka Sh.50,000

View attachment 3207079

Nivea Men Breathable
Haya mafuta ni ya ukweli sana wakuu, jaribu kuyatumia utayakubali
View attachment 3207094

Kwa body lotion napendekeza hayo mafuta

Dove Hand Cream
View attachment 3207100
Pamoja na kutumia body oil bado hutakiwi kukosa Hand Lotion kwa ajili ya kuiweka mikono yako vizuri. Hasa kwa wale wa maofisini usikose hii kitu kwenye kibeg au kwenye gari. Labda umefanya kazi ngumu ya kutumia mikono,au vyovyote vile umeona mikono yako haiko sawa, tumia hiyo hand lotion.
Kwa mimi napendekeza Dove hand cream. Inauzwa Sh.10,000 mpaka Sh.12,000
Dove is for women
 
Itafikia hatua tutakuwa na mashindano ya jinsia yenye ngozi laini, tunakoelekea
 
Haya mazaga hua nayapata pale uchina yakiwa org kabisa kwa bei chee
 
Hivi mwanaume mikono laini ni ya nini? Ebu tujitofautishe na wanawake basi
 
Kwa wale wanaume tunaopenda kuwa smart, nashauri tutumie hizi package zitakuweka smart sana bila kujali unafanya kazi gani na eneo gani.

Dove Gel Body Wash
View attachment 3207110
Hakikisha ni Secret, ujue pia kutofautisha fake na OG. Chupa ndogo inauzwa Sh.12,000 mpaka 15,000. Kubwa inauzwa Sh.20,000.

Jergens Utra Healing.
Haya mafuta ndio ninatumia mimi, nimeona matokeo mazuri sana. Usichukue Jergens yeyote tu bali chuku Utra Healing yenye Vitamin C, E na B5.
Bei yake sio kivile ni Sh.45,000 mpaka Sh.50,000

View attachment 3207079

Nivea Men Breathable
Haya mafuta ni ya ukweli sana wakuu, jaribu kuyatumia utayakubali
View attachment 3207094

Kwa body lotion napendekeza hayo mafuta

Dove Hand Cream
View attachment 3207100
Pamoja na kutumia body oil bado hutakiwi kukosa Hand Lotion kwa ajili ya kuiweka mikono yako vizuri. Hasa kwa wale wa maofisini usikose hii kitu kwenye kibeg au kwenye gari. Labda umefanya kazi ngumu ya kutumia mikono,au vyovyote vile umeona mikono yako haiko sawa, tumia hiyo hand lotion.
Kwa mimi napendekeza Dove hand cream. Inauzwa Sh.10,000 mpaka Sh.12,000
Mkuu asante kwa hili somo, hivi hiyo nivea breathable inafaa kwa ngozi ya mafuta?
 
Nikioga nikapaka duodorant yangu kwapani, futa la nazi juu ya ngozi, saa mkononi, nguo zimepigwa pasi, mkanda kiunoni, kiatu mguuni, nmechana kipilipili changu kichwani na uchebe plus kaunyunyu kidogo cha savage nimemaliza.

Hizo dove nikinunua zitaexpire nitasahau kutumia.
Kuna sabuni zinaitwa MEGA zina maandishi ya kiarabu, ni buku tu hazina harufu kali binafsi tangu nizijue nazipendelea sana.
Nusu Albino una mambo weyeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom