safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Wengi hushangaa kwa nini kajikuta kaoa mwanamke mwenye heshima na adabu msomi lakini sio mzuri,hana umbile ambalo alitamani hapo mwanzo awe nalo mwanamke atakaemuoa.
Wanaume wengi utawakuta wameoa wanawake ambao wako nje na malengo yao ya zamani na maisha bado yanakwenda.
Wakati mwingine huwa nasema kuwa ...
"Kwa mwanamke kuolewa ni bahati,na kwa mwanaume kuoa mwanamke mwenye vigezo vya uzuri unavyovitaka ni bahati pia"
Wanawake wengi wamebahatika kuolewa,na wanaume wachache wamebahatika kuwapata wanawake ambao sifa zao za uzuti ndio zile walizozitaka mwanzo.ila wengi hawajabahatika na hilo.
Hii ni kwa sababu kubwa ya kuwa "tunapokutana na wanawake kuna ambao wanavutia kwa ndoa,na kuna ambao wanavutia kwa ngono tu"
Kwa maana ukikutana na mwanamke mzuri,mwenye umbo uzi kubwa mbantu wa nguvu,kavaa sketi ya mpira,mapaja nje,mapozi kedekede,kikuku mguuni,mdomo una rangi nyekundu,kitovu kipo nje nje,matiti yamefichwa chuchu tu.
Huyu ataipeleka hisia ya mwanaume kwenye ngono kabisa kwa sababu wanaume wengi maradhi yetu ni kuona.
Manamke wa aina hii hawezi kumpeleka mwanaume kwenye hisia za ndoa kwa sababu maumbile yake na alivyo yanavutia katika hisia za kingono,wanaume tunavuta namna ile ile ya vile vinavyotuvutia.
Ndio maana wale madada poa wanaojiuza pale barabarani utawakuta wamevaa mfano wa nilivyotaja sio kwamba watuvutie kindoa,bali watuvutie kingono na matamanio.
Wanaume wengi hujishangaa kwa nini kabla ya kuoa alitamani kuwa na mwanamke mwenye tako kubwa,mzuri mrembo, mrefu mweupe ila anajikuta kaoa mwanamke mwenye sifa moja tu labda ni mweupe basi ila kalio nothing,uzuri nothing.
Sababu ni kuwa wanaume wenyewe kama hatujazisoma akili zetu hivi tunakuja kushtuka baada ya kuoa na kukaa na wake zetu kuwa ohoo kumbe vile vigezo nilivyovitaka havikuwa vigezo vya kunivutia katika Ndoa,bali vilikuwa vigezo vya kunivutia katika Ngono.
Wanaume wengi wanaoa wanawake wazuri baada ya Ndoa zao za kwanza kwa sababu wanakuwa wameshajifunza na kujua kuwa kuna kosa walilifanya kwenye Ndoa zao za kwanza.
kumbe kwenye ndoa ya kwanza ndo walikuwa sahihi na kwenye ndoa ya pili ndo wanakosea zaidi hasa kwa kutanguliza vigezo vya ngono kwenye ndoa jambo ambalo linafanya Ndoa ya pili ya wanaume wengi kuwakumbuka wanawake katika Ndoa ya kwwnza kwa sababu wale wa kwanza ndio walivitia kindoa na hawa wa pili wanavutia kingono tu.
Wanawake bado hawajajua siri hii ndio maana wanajikuta waume zao wanatoka nje ya ndoa wakati wao wapo wanashindwa kuelewa kuwa kuolewa kwako haina maana kuwa unashawishi kingono.
kuna uwezekano mkubwa sana kingono haushawishi kivile ila tu mwenendo wako ndio umekubeba mpaka ukawa kwwnye ndoa uliyonayo.
Ndio maana wanaume wengi wanaheshimu ndoa zao lakini bado wanamichepuko ya maana kuliko wake zao ya kuburudika nao faraghani huko ila bado wanawapenda wake zao.why ?
Kwa sababu mchepuko anavutia kingono,na mkewe anavutia kindoa na mbaya zaidi wanaume anahitaji aina zote hizo za vivutio ili nafsi yake ipate utulivu wa sawasawa.
Mwanaume anapokutana na mwanamke mpole,mwenye akili,anaejali watu mstaarabu,anaechunga nini aseme nini asiseme,mwanamke asieomba pesa,mwanamke anaeshika dini husika ya mwanaume,mawnamke ambae ana mawazo mazuri sio mgomvi na hajishushi kuzungumzia mambo ya ngono kwa mwanaume,wanawake wa aina hii mwanaume akikutana nao anawaza na kuvutika kuwa huyu sasa ndio mke wa kuoa na kuishi nae na kuyajenga maisha.
Ila hiyo haina maana kuwa akimuoa manamke huyu eti mvuto wa kingono atakuwa ameupotezea hapana,bado mwanaume ataendelea kuvutwa na mvuto wa kingono na mwanamke yeyote yule atakayekuwa.
ndio maana wanawake wanatakiwa kujitahidi kuwavutia waume zao kingono kwa sababu ya kuwa wengi wapo wapo kwenye ndoa kwa kigezo tofauti na hicho.
Wanawake tambueni hili
Musijione mpo kwenye ndoa mkajisahau mkadhani pengine wanaume wenu wanavutika sana kingono na nyie hapana,wengi mupo hapo kwa sababu ya heshima na adabu zenu na ustaarabu ila sio mvuto wa kingono mliokuwa nao,fanyeni jitihada muwateke waume zenu.
Mwanamke kuolewa ni bahatai,na mwanaume kuoa mwanamke anaemvutia kingono na kumvutia kindoa pia ni bahati"