Wanaume tunapokutana na wanawake kuna ambao wanavutia kwa ndoa na kuna ambao wanavutia kwa ngono tu

Mbali na ofa yaako mkuu naomba kujua haya nje ya mada..

Jf expwr member wanakusudia nini ?

Ilhali wengine wameandikwa verified member ?
 

Na mimi nasemea hiyohiyo boss
 
Ndoa hazinaga formula na usijiandae sana kama unataka kujibu mtihani wa darasani infact mke wa kuoa huwa anakuja from nowhere wala hutafuti kama pesa. Mtu anayehangaika kutafuta mwanamke wa kuoa wengi huishia huchemka......
 
Ndoa hazinaga formula na usijiandae sana kama unataka kujibu mtihani wa darasani infact mke wa kuoa huwa anakuja from nowhere wala hutafuti kama pesa. Mtu anayehangaika kutafuta mke wa kuoa wengi hiishia huchemka......

Wengi tunawapata alafu ndo tunatafuta.

Ila wengine wanatafuta alafu ndo wanawapata.
 
Mbali na ofa yaako mkuu naomba kujua haya nje ya mada..

Jf expwr member wanakusudia nini ?

Ilhali wengine wameandikwa verified member ?
Sijajua faida anayopata mtu kuwa verified member zaidi ya kuwa taarifa zako halisi zinakuwa exposed.
 
Ndoa hazinaga formula na usijiandae sana kama unataka kujibu mtihani wa darasani infact mke wa kuoa huwa anakuja from nowhere wala hutafuti kama pesa. Mtu anayehangaika kutafuta mwanamke wa kuoa wengi huishia huchemka......

Hakuna kitu from no where.
 
Kuna wanawake wa starehe na kuna wanawake wa kuoa. Ukikosea, utakua mtu wakudhalilishwa na tabia za huyo unayemwita mke, mfano unakuta umemuoa mtu lakini anagongwa na kila mwanaume bila staha, aibu na fedheha lazima itakupata wewe muoaji, au umeoa mke mlevi kupindukia, aibu lazima itakuangukia wewe muoaji, na madhara yatakuwepo kwa familia kwa ujumla. Ukioa mke asiyekua na tabia njema,utahurumiwa sana. Tambua mwanamke wa kuoa na mwanamke wa starehe.
 

Umeelewa umefupisha maelezo yako clear kabisa.

Huyu wa starehe atastarehesha nafsi lakininsasa kunabwatoto na jamii,watoto wako wataharbika kwa ubovu watabia ya mwanamke,na jamii haitakuheshimu.

Ni bora wake zetu wabadilike watufurahishe zaidi huko ndani na huku sisi tukizidi kupambana kutafuta pesa.
 
Sawa
Epuka Misongamano Tulia, Nyumbani, Vaa Barakoa, Nawa Mikono Kwa Maji Tiririka.
Wakati Huu Tunangoja Dawa Toka Madagascar

Thread Yako Iko Sawa Sawa
Sawa mkuu
 

Ile mida ya ftari inakaribia
 
Ni kweli aisee. Sio rahisi kumpata anavutia kimgegedo na akavutia pia kindoa. Ila wapo waliobahatika.
 
Hawa wanaosema oa mwanamke wa ndoto yaoo tabia watanyoshana kwanza hawajaoa. Na hata wakioa kila siku nyuzi za vilio humu ndani.

Matamanio ni mengi huwezi kuyatimiliza na kamwe huwezi kuishi unayotaka bali utaishi unavyotakiwa kuishi.

Hili la timiza au ishi na mpenzi umtakaye limeleta tatizo kubwa kwa wanawake hasa. Pale anapotaka ampate handsome na mwenye pesa. Ni ama analeta matatizo kwa wanaume wanaomtaka wanaoishia kulalamika ooh mwanamke anapenda pesa? Au atampta mwenye pesa lakini nyuzi za malalamiko humu hazitaisha.
 
Ndoa hazinaga formula na usijiandae sana kama unataka kujibu mtihani wa darasani infact mke wa kuoa huwa anakuja from nowhere wala hutafuti kama pesa. Mtu anayehangaika kutafuta mwanamke wa kuoa wengi huishia huchemka......
Kweli aisee kuna jamaa yangu aliweka vigezo mpaka leo nadhani hajaoa. Alipigwa vibuti weee mpaka akawachukia wanawake. Kwanza mambo ya kuchagua chagua unakuwa kama hujui unataka nini kutola kwa mwanamke. Its simple and straight wanaume tunataka mgegedo, heshima na familia. Hivi vitu kila mwanamke anavyo.

Hata umuoe malaika atoke mbingu ya saba. Mwezi mmoja tu wa honeymoon unagegeda mpaka.unachoma baada ya hapo huna hamu tena. Unakuja kugundua kumbe hukuwa na haja ya kutumia pesa na rasilimali nyingi ya muda kumtafuta huyo.

Unaanza kuona sasa ni maisha hasa yaliyo.muhimu kuliko huo uzuri wake. Mnalala pamoja anajmba harufu kali. Anakwenda kunya unasikia misusi yake akiwa chooni. Akiamka asubuhi hajapiga mswaki mdomo unanuka. Ulizoea mnakutana ananukia tu. Hali inabadilika. Usipokuwa na uvumilivu baada ya honeymoon unaweza kuona upendo unapungua. Na wengi ndoa huanza kwenda mlama. Tatizo sio mwanamke tatizo ni wewe unataka nini kwa mwanamke
 
Dogo ndoa ni mchakato, usidhani unakutana na binti hapohapo unamuona anafaa kuoa utapotea wengine ni waigizaji wazuri sana, hadi uwe nae kwenye mahusiano kwa muda hata wa mwaka 1 au 2 ndo umjue vizuri
 
Dogo ndoa ni mchakato, usidhani unakutana na binti hapohapo unamuona anafaa kuoa utapotea wengine ni waigizaji wazuri sana, hadi uwe nae kwenye mahusiano kwa muda hata wa mwaka 1 au 2 ndo umjue vizuri
Yani unaniita mimi dogo kweli ?

Okey tiacane na hilo.

Ukiona mwanamke anakuigizia ujue umeshafeli kwa sababu tayari ameshajua unataka nini kwake hivyo anaigiza kwako ili uone yupo vile anavyotaka.

Mwanamke asiyejua unachotaka hawezi kukuigizia kwa sababu atakuchukulia kama watu wengine tu wa kawaida.

K
 
Nimekuita dogo kwasababu namna unavyochulia kuoa unadhani jambo dogo la kumuona binti Leo kesho au baada ya WK ukatangaza ndoa,
Nakuambia kabisa akili ya mwanamke ione tu, hafu mwanamke usiye mfahamu ambaye hata huna mtu/ ndugu yako anayemfahamu hata kama anatabia zinazokuvuatia kuwa makini sana, haswa kama anakuja kwako akiona maisha unayoishi anauwezo wa kukuinfluence ukajikuta umemuoa kumbe hana tabia za kuwa mke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…