Wanaume tunapokutana na wanawake kuna ambao wanavutia kwa ndoa na kuna ambao wanavutia kwa ngono tu

Madem wakuoa wapo, unapata dem ad unajiuliza siku zote alikuwa wapi. Hakuombi hela, ukitaka mzigo anakupa, demu akija kukutembelea anakufulia nguo adi boxers, anaosha vyombo, na anakupikia chochote unachotaka, hataki ununue chakula akiwepo.
 
Sahihi
 
Very true, nyongeza ndogo hapo sio kwenye kuoa tu pia hata kwenye kuishi jitahidi uwe na mtu wa ndoto zako.





Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana hamjaoa nyinyi nawachukulia kama vijana walioko vyuoni wana ndoto ambazo ukiwasikiliza unajua kabisa hawa vijana baafa ya miaka miwili mitatu watakuwa kama Billgates na Jackma. Wana maoni mazuri na mipango ambayo ikifanikiwa kweli( na hapo ndipo kazi ilipo) unaona wana vision. Ukiwatembelea huko field waliko 1, 2, 3yrs after graduates unakuta wamechoka sana taabani. Waulize ile mipango yenu imwfika wapi??.

Mti ambaye hana uzoefu wa jambo ni mwepesi sana kuongea kile anachofikiri
 
Yaani mkubwa umeongea kweli tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala la ndoa gumu sana wapo wanawake wakali sana ila wanaolewa na wanaume Wa kawaida sana kwahyo mleta mada ndoa ni makubaliano sura sijui maumbile hayo yapo nyuma ya makubaliano kati ya muoaji na muolewaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ule mvuto wa awali.

Baaady ya kujuana, tabia zitaamua kama ni wife au starehe material.
 
Hakuna Mwanaume Atakayeshindwa Kumpenda Mke ambaye Ni mnyenyekevu, Mfariji, Anajua Maneno Gani Aongee na Asiongee, Sio Mke wako Anapambana Kukutawala, Anayebeba Hisia za Mwenzake, Kuomba Radhi anapokosea, Anayependa Ndugu wanpande zote Bila UBINAFSI wa kutaka kila Jambo Zuri lifanywe Kwao. Mwanaume Akimuumiza Mke Kama huyu Laana yake ni Ya milele Ndoa Yangu ina Miaka 9 Sasa Na Mama Chanja Mimi ni moja Ya watu nnayeenjoy Ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hayo ni mawazo yako mkuu siwezi kuyapinga,ila ukiangalia vozuri mimi nimegusia namna ambavyo wanawake wanavutia kingono na kindoa.

Wewe ulichoelewa na kukigusia ni mchakato wa ungine wa kumchunguza mwenza.hizo taratibu zipo ila uzi wangu haukulenga maudhui hayo.

Unaweza kumuona mwnamke humjui tabia zake ila anapokaa unapajua,unaweza kufanya taratibu za kutuma watu kwa siri wanaojua anapokaa huyo binti na wakamchunguze kwa kuwaulizia wadau pale mtaani tabia zake.hili ndo unaloulizia.

Mimi nazungumzia mvuto wa wanawake kwetu tunapokuwa tumechanganyika nao kwenye maisha ya kawaida.

Suala la kuwa uchukue hatua sasa la kutaka kujihakikishia ni suala jingine.mimi sikusema kuwa huo mvuto anaigiza au halisia lakini nilichosema kuwa tunavutiwa na namna hizo.

Sasa wewe ili uhakikishe lazima ufanye mchakato huo wa kumchunguza tabia kupitia watu wenye busara na waadilifu wanaokupendelea heri.

Unachoongea na nilichopost ni mambo mawili tofauti,uzi unahusu kuvutika kingono na kindoa na wala uzi hauzungumzii moja kwa moja mchakato wa kumpata mchumba kama ulivyoelewa.
 

Yes mkuu.

Wakati mwingine uzoefu utangulizwe kwanza then fikra ziwe nyuma
 
Madem wakuoa wapo, unapata dem ad unajiuliza siku zote alikuwa wapi. Hakuombi hela, ukitaka mzigo anakupa, demu akija kukutembelea anakufulia nguo adi boxers, anaosha vyombo, na anakupikia chochote unachotaka, hataki ununue chakula akiwepo.
Aaa aiseee.

Ila pia ni muhimu kujiuliza kuwa ikiwa anakupa wewe namna hiyo na haujamuoa unajiaminisha vipi kuwa hatompa mwingine ambaye pia hajamuoa pengine kakuzidi wewe kwa ambacho demu amekukubali wewe.
 
Kuna maisha ya kufikirika na kuna maisha halisi ya ndoa, ila kwenye ndoa mwanamke mwenye respect kwa Mumewe huyo ni kila kitu na ataishi kama Malikia kwenye hio ndoa.
 
Mi naona kuoa hakunaga fomula,huyo huyo mvaa uchi anaweza kukuchanganya kimahaba ukamuoa!! Suala si kubadili mavazi tu,Ukamshauri na akabadilika na mnaweza kuishi vizuri kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja kwasababu kuna cousin wangu kaolewa juzi tu hapa
ana tattoo mkononi,mguuni kwenye kifu kwenye shingo.
Ana mtoto (Single mother)
Ni malaya mno kiasi anatoka kwa mumewe anaenda kwa bwana
yani kwakifupi kwa mtazamo wa nje na tabia yake hafai kuwa mke wa mtu kabisa , lakini shemeji yangu kamchukua kamuoa na anampenda kwelimweli

Haya hapo utasemaje[emoji23]
 
Ndoa ni kasumba nyingine, chagua chagua hii unajikuta umeibuka na bondia aliyekuwa likizo ya uchumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nmecheka kama mazuri kumbeee.....tena ukutane na mmachame mmoja hivi kwa nje very kapole....balaaa lake sasa, mandonga mtu kazi huyu hapa tena kavu kavu hta gloves havai
 
Nmecheka kama mazuri kumbeee.....tena ukutane na mmachame mmoja hivi kwa nje very kapole....balaaa lake sasa, mandonga mtu kazi huyu hapa tena kavu kavu hta gloves havai
😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…