Wanaume tupambane kwa nguvu zote tuwafungulie wake zetu biashara wajiajiri

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Wanaume tupambane kwa nguvu zote tufungue biashara ili wake zetu waweze kuzisimamia.

Hii hali ya kuoa mwanamke aliye ajiriwa kuna changamoto zake kama ifuatavyo:-​
  • Kazi ndio mme wake​
  • Mumewe ni chaguo la pili baada ya kazi​
  • Anaiheshimu ile kazi na anaitii kuliko anavyomtii mme wake​
  • Kazi inamfanya alale nje au wakati mwingine awe mbali na mumewe (safari za kikazi)​
  • Anamtii bosi wake kuliko mume wake​
  • Bosi akiwa kipanga atatembea na mkeo kwa kumuwekea mazingira ya posho posho n.k​
  • Ikitokea kazi inamhitaji nawe unamhitaji, atasikiliza kazi kwanza na wewe unawekwa pending​
  • Ikitokea amehamishwa mkoa au nchi,inabidi uwe mpole tu sababu kazi ndio iliyomuoa​
Mfano mdogo tu; mkeo akipigiwa simu na bosi wake ataanza kutetemeka zaidi kuliko anavyopigiwa simu na mumewe.

Swali, Je wake wa matajiri wameajiriwa?
Amka mwanaume, mfungulie mkeo biashara ajiajiri, kuajiriwa sio sifa.​
 
Ndoa haina mjanja, dawa ya ndoa ni kurudi kwa Muasisi wa Taasisi
 
Mawazo mazuri kabisa mkuu
Tofauti na hivyo, haya yatakukuta....
gy.jpg
 
Ahsante kwa ushauri wako, ila kwa Taarifa yako hizo shutuma ulizoziweka hazifanywi na kila mwanamke aliyeajiriwa. Kumpa mtaji mwanamke ni tishio la kupokonywa ufalme endapo tu huyo mama akaukuza huo mtaji na wewe harakati zako zikawq hazitengenezi pesa ya kueleweka. Akiwhakuza mtaji dharau zinaanza. Mimi nina mfano hai wa mzee wangu mmoja wabkufikia, wanawake bhana, mzee alimfungulia ki glocery hapo karibu na nyumbani. Yule mama akakisimamia mtaji ukakua upande wa pili wa mzee wangu mishe mishe zake zikawq haziendi vizuri daah mwanamke dharau na wakati mwingine yakw alivyokuwa anafanyiwa na mkewe akawa anayasikia tu kwenye bomba. Glocery ndio ikaheshimiwa na aliyetoa mtaji akaonekana kama mwanaume suruali tu.
 
Wanaume tupambane kwa nguvu zote tufungue biashara ili wake zetu waweze kuzisimamia.

Hii hali ya kuoa mwanamke aliye ajiriwa kuna changamoto zake kama ifuatavyo:-​
  • Kazi ndio mme wake​
  • Mumewe ni chaguo la pili baada ya kazi​
  • Anaiheshimu ile kazi na anaitii kuliko anavyomtii mme wake​
  • Kazi inamfanya alale nje au wakati mwingine awe mbali na mumewe (safari za kikazi)​
  • Anamtii bosi wake kuliko mume wake​
  • Bosi akiwa kipanga atatembea na mkeo kwa kumuwekea mazingira ya posho posho n.k​
  • Ikitokea kazi inamhitaji nawe unamhitaji, atasikiliza kazi kwanza na wewe unawekwa pending​
  • Ikitokea amehamishwa mkoa au nchi,inabidi uwe mpole tu sababu kazi ndio iliyomuoa​
Mfano mdogo tu; mkeo akipigiwa simu na bosi wake ataanza kutetemeka zaidi kuliko anavyopigiwa simu na mumewe.

Swali, Je wake wa matajiri wameajiriwa?
Amka mwanaume, mfungulie mkeo biashara ajiajiri, kuajiriwa sio sifa.​
Acha uwoga wewe...kuchapiwa sio kitu cha kukupa stress mwanaume wa karne hii kama una pesa
 
Kuna familia zingine kazi zimewafanya wawe singo; mume dar, mke dom n.k
 
Back
Top Bottom