Wanaume tupaze sauti tumtetee Mzee Shusho kwa udhalilishaji anaofanyiwa na Christina

Da Tina toka awe karibu na WCB lebel sijui kawaje, anaongea vitu ambavyo hakupaswa kuvisema mbele ya umma, hata km ni kweli.
 
Kutoka kushusha nyavu mpaka kushusha chup! mchezo? Alafu hawa waimbaji wa nyimbo za injili hawa sijui nakumbuka ya Frola
 
Kiuhalisia Huyo Christina ndie kavurugwa kwani yeye ndie mara nyingi humuongelea huyo mzee! Kama wameachana afanye yake aache kutafuta kiki


.Cc Smart911
Mwenye maumivu ndio hunungunika 24/7. Ukipigwa tukio vizuri hauwezi msahau aliyekupiga tukio kila siku utalala naye utaamka naye. Apatiwe daktari wa akili.
 
Mkuu una picha ya mzee wake mzee shusho
 
Marehemu G Habash alisemwa na Ladyjaydee sana. Alipoachia kombora moja Hiroshima akaonekana mbaya ila vita vikaisha
.
Ninakumbuka Gardner alisema kwa sauti ya zege "Yaani yule mwanamke (Jide) nimemkojoza kwa miaka 15..."
 
Kwani kamsimanga na nini???

Hivi kataa ndoa ni wanaume tu? Wanawake haturuhusiwi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…