Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Inategemea ukiwa mature enough unaweza kupuuza na usiathirike,,, lkn ukiwa mkimya na unaumia nakubaliana na wewe utapata sononaLakini ndio sababu ya kufa mapema,kwa sonona au presha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea ukiwa mature enough unaweza kupuuza na usiathirike,,, lkn ukiwa mkimya na unaumia nakubaliana na wewe utapata sononaLakini ndio sababu ya kufa mapema,kwa sonona au presha
Introvert people ndiyomaana huwa mnakufa kindezi sana, nani alikwambia kuna bingwa wa kugugumia maumivu rohoni ya kutangazwa mitandaoni?Mada iko kwa Kiswahili, wewe unaandika kwa Kiingereza.
Ndiyo maana hata wewe unaona hilo wazo la mzee kutetewa lina maana.
Mwanamke mpuuzi anapuuzwa na upuuzi wake.
Mwanaume wake anapaswa kujikita kwenye mambo mengine ya msingi, siyo naye kuja kulumbana mitandaoni au kutaka kujitetea au kujisafisha. Ni kupoteza wakati pia kuingia kwenye mfumo wa 'kike'.
Uanaume ni kukaza na kukaa kimya wakati wa dhoruba. [emoji419]
Nimeumia wapi???Tusifokeane afu unaumia Mzee wa Watu kutetewa, akili zingine hizi bhana [emoji4]
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Nmekumbuka ule msemo wa jamaa,Endeleeni na upole wenu, kuna jamaa alisema tusiwahurumie wanawake na huo ndio ukweli. Unakuwa kondoo ndani ya nyumba mwisho ndio unafanyiwa hivi.
Hahaha nakumbuka hii. Hadi watetezi wa haki za wanawake wanaingilia kimya wakati kipindi anaitwa Yahya walikula buyu.Marehemu G Habash alisemwa na Ladyjaydee sana. Alipoachia kombora moja Hiroshima akaonekana mbaya ila vita vikaisha
mungu wa mafuta ya upako, unga, maji na chumvi ila si Mungu Muumba mbingu na nchi.Hakuna kuokoka kwenye haya maisha. Na walokole ni watu wana matukio magumu sana. Wengi ni kufanya usanii na kutishia wako karibu na Mungu. Ukiangalia sana sijui wako karibu na Mungu wa aina gani
Ndiyo uanaume. Ni heri kufa ukiwa shujaa kuliko kuishi kama coward.Introvert people ndiyomaana huwa mnakufa kindezi sana, nani alikwambia kuna bingwa wa kugugumia maumivu ya kutangazwa mitandaoni?
Me twapaswa kuondokana na dhana potofu za kujaza mawazo tele rohoni kuepukana na kansa, vidonda vya tumbo, kisukari, BP na hata stroke maana Ke hutoa vinyongo rohoni kwa kuongea au kulia na kuwa wepesi kiakili, badilika uendane na wakati usiishi kijima kisa una koromeo.
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
What the hell https://jamii.app/JFUserGuide is this [emoji848][emoji2961]Mwanamke akiwa introduced na rojo (rost maini) anachanganyikiwa na hasikii kabisa na mondi unaambiwa ndio michezo yake..hakua na namna
Lazma angemuacha mzee...maana mlokole wa ukweli hali tigo..!
Eeh bwana, ufanye kazi kwa ajili yako na yake, then akishakaa vizuri kiuchumi anakubwaga, au ukihaso yeye anakichapisha kwa wana mtaani. Endeleeni kuwahurumia mkuu.Mwanamke ni kiumbe hatari sana akifanikiwa hamtaki tena mwanaume aliyemwinua.
Sawa, kwa niaba ya Tina na walokole wenzangu napokea maonyo mtumishiSawa brother,neno linatuambie tuonyane sisi Kwa sisi,hapa Leo Tina anaonywa😁😁
Mahi kunalo? Lingekuwepo lingeshawekwa.Wakijibu niite Diha[emoji2]
"Resembling birds do flock together within the same group/Ndege wafananao huruka pamoja katika kundi moja"Huwezi kutembea na mwanaume anayevaa Pete za Mafuvu ya watu halafu ukabaki salama na wokovu wako!
Sikai kiboya kwa hawa viumbe kabisaEeh bwana, ufanye kazi kwa ajili yako na yake, then akishakaa vizuri kiuchumi anakubwaga, au ukihaso yeye anakichapisha kwa wana mtaani. Endeleeni kuwahurumia mkuu.