Wanaume tupaze sauti tumtetee Mzee Shusho kwa udhalilishaji anaofanyiwa na Christina

Wanaume tupaze sauti tumtetee Mzee Shusho kwa udhalilishaji anaofanyiwa na Christina

Mzee Shusho hanachakupoteza hapoo,kamlaaa sanaaa mpaka shimo la Tina limechakaa.....deal done,Koo amwache abwekee lakini hawezi pata mtu wa saizi yake Alo single atajuta atapigwa matukio

Mwanamke sio wa kuamini ukajiachia kwenye mahusianooo...kanajiona et kazuri,wakati mzeee amekatumiaa mpaka toshaa....Mara paap amedungwa na Simbaaa.
 
Mada iko kwa Kiswahili, wewe unaandika kwa Kiingereza.
Ndiyo maana hata wewe unaona hilo wazo la mzee kutetewa lina maana.

Mwanamke mpuuzi anapuuzwa na upuuzi wake.
Mwanaume wake anapaswa kujikita kwenye mambo mengine ya msingi, siyo naye kuja kulumbana mitandaoni au kutaka kujitetea au kujisafisha. Ni kupoteza wakati pia kuingia kwenye mfumo wa 'kike'.
Uanaume ni kukaza na kukaa kimya wakati wa dhoruba. [emoji419]
Introvert people ndiyomaana huwa mnakufa kindezi sana, nani alikwambia kuna bingwa wa kugugumia maumivu rohoni ya kutangazwa mitandaoni?

Me twapaswa kuondokana na dhana potofu za kujaza mawazo tele rohoni kuepukana na kansa, vidonda vya tumbo, kisukari, BP na hata stroke maana Ke hutoa vinyongo rohoni kwa kuongea au kulia na kuwa wepesi kiakili, badilika uendane na wakati usiishi kijima kisa una koromeo.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Endeleeni na upole wenu, kuna jamaa alisema tusiwahurumie wanawake na huo ndio ukweli. Unakuwa kondoo ndani ya nyumba mwisho ndio unafanyiwa hivi.
Nmekumbuka ule msemo wa jamaa,
"UKIPATA NAFASI YA KUMUUMIZA MWANAMKE ITUMIE IPASAVYO, HAWA VIUMBE HAWANA SHUKRANI"
 
Upole nao ukizid kwa mwanaume unakuwa zobaa mm ningevunjilia mbali non to that extent
 
Marehemu G Habash alisemwa na Ladyjaydee sana. Alipoachia kombora moja Hiroshima akaonekana mbaya ila vita vikaisha
Hahaha nakumbuka hii. Hadi watetezi wa haki za wanawake wanaingilia kimya wakati kipindi anaitwa Yahya walikula buyu.
 
Hakuna kuokoka kwenye haya maisha. Na walokole ni watu wana matukio magumu sana. Wengi ni kufanya usanii na kutishia wako karibu na Mungu. Ukiangalia sana sijui wako karibu na Mungu wa aina gani
mungu wa mafuta ya upako, unga, maji na chumvi ila si Mungu Muumba mbingu na nchi.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Introvert people ndiyomaana huwa mnakufa kindezi sana, nani alikwambia kuna bingwa wa kugugumia maumivu ya kutangazwa mitandaoni?

Me twapaswa kuondokana na dhana potofu za kujaza mawazo tele rohoni kuepukana na kansa, vidonda vya tumbo, kisukari, BP na hata stroke maana Ke hutoa vinyongo rohoni kwa kuongea au kulia na kuwa wepesi kiakili, badilika uendane na wakati usiishi kijima kisa una koromeo.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Ndiyo uanaume. Ni heri kufa ukiwa shujaa kuliko kuishi kama coward.
Wanaume hatulii, hatulalamiki wala kutafuta huruma hadharani/mitandaoni.
Vitu hivyo havina faida wala havitatui matatizo. Mwanaume anakaa chini anatulia, dhoruba itapita tu.
Na hiyo ndiyo tofauti yetu na wanawake. Wanaume wa kisasa kila siku mnataka mfanane na wanawake. Wao wakilia, nanyi mnaenda kulia.
Hopeless!
 
Mwanamke akiwa introduced na rojo (rost maini) anachanganyikiwa na hasikii kabisa na mondi unaambiwa ndio michezo yake..hakua na namna
Lazma angemuacha mzee...maana mlokole wa ukweli hali tigo..!
What the hell https://jamii.app/JFUserGuide is this [emoji848][emoji2961]
JamiiForums212693510.jpg
 
Mwanamke ni kiumbe hatari sana akifanikiwa hamtaki tena mwanaume aliyemwinua.
Eeh bwana, ufanye kazi kwa ajili yako na yake, then akishakaa vizuri kiuchumi anakubwaga, au ukihaso yeye anakichapisha kwa wana mtaani. Endeleeni kuwahurumia mkuu.
 
Huwezi kutembea na mwanaume anayevaa Pete za Mafuvu ya watu halafu ukabaki salama na wokovu wako!
"Resembling birds do flock together within the same group/Ndege wafananao huruka pamoja katika kundi moja"

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
UKIONA hivyo ujue Tina amepata kijana wa kutwanga kinu Hadi kipasuke, yalikuwa ya chini chini Sasa yatokelezea nje ujue hiyo vita si ya kitoto.
 
Eeh bwana, ufanye kazi kwa ajili yako na yake, then akishakaa vizuri kiuchumi anakubwaga, au ukihaso yeye anakichapisha kwa wana mtaani. Endeleeni kuwahurumia mkuu.
Sikai kiboya kwa hawa viumbe kabisa
 
Back
Top Bottom