ngenya
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,313
- 1,773
Mambo ya kupeana majina haya, ndo abadilishe sasa kama yule Frola Mbasha.Mume wa Tina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya kupeana majina haya, ndo abadilishe sasa kama yule Frola Mbasha.Mume wa Tina
Malaika hawa hapa weupeeeee wenyewe na mabawa yao.🤣🤣Wanaume bwana wanachekesha🤣🤣🤣🤣
Yanavyowatoka sasa!!
Kahojiwa ndio maana kaongea ulitaka awe bubu kwenye mic??Sasa kama ksahaamua kuishi kivyake si atulize nyapu anaongea ongea nini?
binti kiziwi kasema kokoto lori 2 daaah zote hizi za nini, au basi....kokoto nyingine tutazitumia kuwaponda waanaume watakaokua wanapita pita eneo la ujenziMwenyekiti japo sijui kinachoendelea nitatoa simenti mifuko mitano 😀
Kamdhalilisha na nini yani watu.... Hivi angesema hajui kunyandua wanaume si mngeweka matanga???Kama ni hivyo hapo kamdhalilishaje mumewe?
Acha uchochezi 😂😂😂😀 Mi sipo!
Wanapepea tu hovyo hovyo 🤣🤣🤣Malaika hawa hapa weupeeeee wenyewe na mabawa yao.🤣🤣
Mwenye maumivu ndio hunungunika 24/7. Ukipigwa tukio vizuri hauwezi msahau aliyekupiga tukio kila siku utalala naye utaamka naye. Apatiwe daktari wa akili.Kiuhalisia Huyo Christina ndie kavurugwa kwani yeye ndie mara nyingi humuongelea huyo mzee! Kama wameachana afanye yake aache kutafuta kiki
.Cc Smart911
😂😂😂😂binti kiziwi kasema kokoto lori 2 daaah zote hizi za nini, au basi....kokoto nyingine tutazitumia kuwaponda waanaume watakaokua wanapita pita eneo la ujenzi
🤣🤣🤣🤣🤣Kamdhalilisha na nini??? Hivi angesema hajui kunyandua wanaume si mngeweka matanga???
Mkuu una picha ya mzee wake mzee shushoKwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha.
Mkuu
Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa miaka 20 ndio ugundue ni mbaya, kuna msanii mkubwa mmoja nasikia ndio anampa kiburi
Wanaume wapole ndio maana tunakufa mapema, Tina angeolewa na mswahili kama Mwijaku au Manara asingethubutu kumdhalulisha mzee wa watu, angeanikwa hadi siri zake za chumbani.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ila Eve Akili zako...binti kiziwi kasema kokoto lori 2 daaah zote hizi za nini, au basi....kokoto nyingine tutazitumia kuwaponda waanaume watakaokua wanapita pita eneo la ujenzi
Kabisa mkuuNo offense watu wanadhani ni ukatili ila wanawake wenyewe hawataki simps and gentlemens, they want war and chaos man. Stoic man
Mi nahisi wananzengo wanaona kamdhalilisha mumewe kwa kitendo cha kuachana naye hali ya kuwa mumewe ni mzee.Wanaona angeendelea kumtunza mzeeKama ni hivyo hapo kamdhalilishaje mumewe?
.Marehemu G Habash alisemwa na Ladyjaydee sana. Alipoachia kombora moja Hiroshima akaonekana mbaya ila vita vikaisha
AmenSawa, kwa niaba ya Tina na walokole wenzangu napokea maonyo mtumishi
Thread ifungwe sasa.....mod mmoja niondoke nae 😹😹😹
Kwani kamsimanga na nini???Wanasema ukiona mwenzio ananyolewa zako tia maji
Wanaume hatuwezi kukaa kimya wakati Mzee Shusho anaendelea kusimangwa Kila Kona ya Nchi tena na mtu ambaye alikula naye kiapo cha shida na Raha/ugonjwa na taabu 🤗
By the way, naomba ulete Maji tuzime huu moto badala ya Petroli
Muonee huruma Mzee Shusho 🤗