Wanaume tupaze sauti tumtetee Mzee Shusho kwa udhalilishaji anaofanyiwa na Christina

Kwanini tumtetee? Mtu alizuia yule demu awe anakula peke yake!! Sisi ndiyo tumefurahia, wacha tutafute namna ya kumfikia tu nasi tukajirushe naye.

Kila mtu ashinde mechi zake
 
Kamdhalilisha na nini yani watu.... Hivi angesema hajui kunyandua wanaume si mngeweka matanga???
Usinijumlishe kwenye huo ujinga wao watu wanatapika nyongo kumbe jambo lenyewe ni dogo labda kuna wengine wanatumia matatizo yao ya kifamilia kumtwisha mzigo dada yetu Shusho ndio maana makasiriko yamekuwa mengi
 
Hilo sijasikia.....kama kweli katamka hayo, amekosea.
 
Wanaume hatupigani vita vya maneno na wanawake, hasa mitandaoni. Anachokifanya mzee ndiyo uanaume wenyewe. Kula buyu kama hakijatokea kitu.
Ni sahihi na hiki ndio kinachomtesa huyo binti. Mzee aendelee na maisha yake ikiwezekana aoe tena tu.
 
Hilo sijasikia.....kama kweli katamka hayo, amekosea.
Ninyi mkishatuchoka hamuoni shida kutuumiza.

Na mkishapata dogodogo wa kusimamia Kucha ndiyo balaa kabisa, ukiwa naye Kwa bed unaambiwa mtukane Mzee Grahams nawe unatii kabisa Mzee huyu nanii kabisa 😜
 
ivi ndo ameimba ule wimbo wa ,...... "...Shetani na mama mkwe wake wanalia. Shetani na mama mkwe wake wamekalia misumari, Walijua nitakufa, hawakujua nina Mungu,walijua nitakufa..."
 
Mzee Shusho namuelewa sana!
Mzee wa watu anakubali muda uwe hakimu, muda utaongea! Habishani na Christina kwa lolote! Mwanamke muache aongee tu usimjibu!
 
Huoni udhalilishaji anaofanyiwa Mkuu

Yaani huyo Tina amebakiza pointi kidogo sana aanze kuyasema ya chumbani

Kuhusu Kataa Ndoa, niwe mkweli Sijaona Wanawake timu Kataa Ndoa, wewe utakuwa wa kwanza Mkuu 😅
Tuambie huo udhalilishaji ni upi?
 
Kwani kusema nimemuacha mme ili nitimize ndoto zangu ni dhambi????kumuacha mme ni dhambi???

Mfano narudia ni mfano
Mme wangu hataki mie nifanye kazi, naamua nimuache ili nikalambe dili nzito huko nipate maokoto.....ni dhambi? Nimekosea nini???
Mimi nilivyo msikia kwenye interview anasema alikua anakaa amezungukwa na wanaume 11 kulikua na sababu ya kuongea yote hayo ili tumchukie huyo mume wake au.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…