Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Bora akae kimya japokuwa sijui undani wa habari hiiKuna sababu why amekaa kimya, sometimes it for the best. Nature inatuasa kuto kulazimisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora akae kimya japokuwa sijui undani wa habari hiiKuna sababu why amekaa kimya, sometimes it for the best. Nature inatuasa kuto kulazimisha
Kwanini tumtetee? Mtu alizuia yule demu awe anakula peke yake!! Sisi ndiyo tumefurahia, wacha tutafute namna ya kumfikia tu nasi tukajirushe naye.Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha.
Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa miaka 20 ndio ugundue ni mbaya, kuna msanii mkubwa mmoja nasikia ndio anampa kiburi
Wanaume wapole ndio maana tunakufa mapema, Tina angeolewa na mswahili kama Mwijaku au Manara asingethubutu kumdhalulisha mzee wa watu, angeanikwa hadi siri zake za chumbani.
Usinijumlishe kwenye huo ujinga wao watu wanatapika nyongo kumbe jambo lenyewe ni dogo labda kuna wengine wanatumia matatizo yao ya kifamilia kumtwisha mzigo dada yetu Shusho ndio maana makasiriko yamekuwa mengiKamdhalilisha na nini yani watu.... Hivi angesema hajui kunyandua wanaume si mngeweka matanga???
Hilo sijasikia.....kama kweli katamka hayo, amekosea.Wanawake wenzio watakaosema wafuate maneno yako watajikuta baridi linawamaliza wakati huo wewe ikifika Jioni tu unamwambia Baba Chanja unaipandia juu 😜🙌
Hujaona anasema eti ni Mzee wa kimoja chali
Hajui kimoja hicho hicho kinaweza kumfanya Mke aanze kulamba ndimu Kwa kichefuchefu 😅
Sasa hayo si maamuzi ya mtu hapo hakuna udhalilishajiMi nahisi wananzengo wanaona kamdhalilisha mumewe kwa kitendo cha kuachana naye hali ya kuwa mumewe ni mzee.Wanaona angeendelea kumtunza mzee
Fuatilia kwenye forums mbalimbali mkuu.Amesema nini?
Mkuu kwani huingii mitandaoni ukasoma anayoyasema?Hayo maneno ya ovyo ni yapi? Mbona mnatoa vitu nusu nusu
Ni sahihi na hiki ndio kinachomtesa huyo binti. Mzee aendelee na maisha yake ikiwezekana aoe tena tu.Wanaume hatupigani vita vya maneno na wanawake, hasa mitandaoni. Anachokifanya mzee ndiyo uanaume wenyewe. Kula buyu kama hakijatokea kitu.
Ninyi mkishatuchoka hamuoni shida kutuumiza.Hilo sijasikia.....kama kweli katamka hayo, amekosea.
Mwambie akuoneshe hayo maneno kazungumza wapi? Maana siku hizi reporters wa kujitegemea wamekuwa ni wengi taaluma zeroHilo sijasikia.....kama kweli katamka hayo, amekosea.
Pitia Uzi wake humu upoAmesimangwa vipi mbona hamsemi
Tuambie huo udhalilishaji ni upi?Huoni udhalilishaji anaofanyiwa Mkuu
Yaani huyo Tina amebakiza pointi kidogo sana aanze kuyasema ya chumbani
Kuhusu Kataa Ndoa, niwe mkweli Sijaona Wanawake timu Kataa Ndoa, wewe utakuwa wa kwanza Mkuu 😅
Kama ndio Yale maneno sijaona udhalilishaji kama mnavyosema humu au kama kuna menginePitia Uzi wake humu upo
Mimi nilivyo msikia kwenye interview anasema alikua anakaa amezungukwa na wanaume 11 kulikua na sababu ya kuongea yote hayo ili tumchukie huyo mume wake au.Kwani kusema nimemuacha mme ili nitimize ndoto zangu ni dhambi????kumuacha mme ni dhambi???
Mfano narudia ni mfano
Mme wangu hataki mie nifanye kazi, naamua nimuache ili nikalambe dili nzito huko nipate maokoto.....ni dhambi? Nimekosea nini???
Anasema aliolewa bila kupenda.na alikua anaishi nyumba yenye wanaume 11 anawapikia msosi.Kwani kaongea kitu gani
Ningekuwa mitandaoni ningekuuliza?Mkuu kwani huingii mitandaoni ukasoma anayoyasema?