Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Tutake radhi mkuu mambo yao waachie wenyewe, mwanaume rijali anayejielewa Huwa haongei sana Kukaa kimya pia ni jibu tena Huwa linauma sanaKwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kymsemea ameamua kunyamaza,ila nadhani akifungua mdomo Christina atatafuya pa kujificha.
Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu,yaani ukae kwenye ndoa miaka 20 ndio ugundue ni mbaya,kuna msanii mkubwa mmoja nasikia ndio anampa kiburi
Wanaume wapole ndiio maana tunakufa mapema,Tina angeolewa na mswahili kamamwijaku au manara asingethubutu kumdhalulisha mzee wa watu,angeanikwa hadi siri zake za chumbani
ππππ Ndio manake na kisaikolojia mzee asipojibu itamuumiza Sana mwanamke dhamira yake ni kumpandisha mzaa hasira anyanyue mdomoWanaume hatupigani vita vya maneno na wanawake, hasa mitandaoni. Anachokifanya mzee ndiyo uanaume wenyewe. Kula buyu kama hakijatokea kitu.
ππ Na akinyanyua tu mdomo, ataharibu kila kitu. Ukimya wake ni ushindi mkubwa sana.ππππ Ndio manake na kisaikolojia mzee asipojibu itamuumiza Sana mwanamke dhamira yake ni kumpandisha mzaa hasira anyanyue mdomo
Kwani siku hizi mmeacha dildo mmehamia kwenye nondo??Nondo mbili na cement mifuko 3 kutoka kwangu kwa ajili ya ujenzi wa sanamu la Christina....
Naomba kuwasiliasha.
Christina aache kutumia jina la Shusho.Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kymsemea ameamua kunyamaza,ila nadhani akifungua mdomo Christina atatafuya pa kujificha.
Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu,yaani ukae kwenye ndoa miaka 20 ndio ugundue ni mbaya,kuna msanii mkubwa mmoja nasikia ndio anampa kiburi
Wanaume wapole ndiio maana tunakufa mapema,Tina angeolewa na mswahili kamamwijaku au manara asingethubutu kumdhalulisha mzee wa watu,angeanikwa hadi siri zake za chu bani.
NAKAZIAEndeleeni na upole wenu, kuna jamaa alisema tusiwahurumie wanawake na huo ndio ukweli. Unakuwa kondoo ndani ya nyumba mwisho ndio unafanyiwa hivi.
Amechoka kubeba msalaba.....Tina anaanza uhuni uzeeni
@mdukuzi ,kweli bwana,we die premature because of these kinds of women,kwasasa. Mzee SHUSHO anaonekana kichekesho ila angekua amefanyiwa Tina basi dunia yote ikiwemo wanaume wangeandamana kumtetea Tina,dunia ya sasa nikandamizi kwa mwanaume tena haina huruma namwanaume chakushangaza ,hadi wanaume tunajipendekeza nakushangilia alichokifanya Tina badala ya kupigwa vita hadi ajutie,media zinajaribu kutetea uzinifu wake,namakosa yakena nakuhalalisha alichokifanya as if nitabia njema Ktk jamii.eti tu kisa nimwanamke mwenye matako daahh????!!!!Kaka udhalilishaji unasema non of our business,kuna hadichama cha wanaume wanaopigwana wake zao,huu ni unyanyasaji kijinsia,abgefanyiwa mwanamke wanaharakati wangeamka huko,wake up guy,tunakufa mapema sababu ya wanawake kama hawa
Christina amekuwa mtu mzima lakini kichwani ni zero bin "sufuri" lenye sufuria.Anaamini kuongea kutamuondolea sumu mwilini mwake.Si kweli. Atakutana na wehu kama "mimi" tutamuongezea sumu zaidi.Awe mchaguzi wa maneno kila afunguapo kinywa chake.Hii ni dunia itambinukia kama gunia.Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kymsemea ameamua kunyamaza,ila nadhani akifungua mdomo Christina atatafuya pa kujificha.
Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu,yaani ukae kwenye ndoa miaka 20 ndio ugundue ni mbaya,kuna msanii mkubwa mmoja nasikia ndio anampa kiburi
Wanaume wapole ndiio maana tunakufa mapema,Tina angeolewa na mswahili kamamwijaku au manara asingethubutu kumdhalulisha mzee wa watu,angeanikwa hadi siri zake za chumbani
Unachokaje sasa?Unataka "Josephina" wa Armathaya akusaidie ubebaji wa msalaba wako halali?Hell nooo!Utaubeba kwa lazima na mijeledi juu!πππAmechoka kubeba msalaba.....
Nasimama na Tina π
Bro dildo zinajenga nguzo??Kwan siku hiz mmeacha dildo mmehamia kwenye nondo??
Mijeredi yake punda tu, binadamu ukichoka ni kuleft kama Tina a.k.a ze mchungajiUnachokaje sasa?Unataka "Josephina" wa Armathaya akusaidie ubebaji wa msalaba wako halali?Hell nooo!Utaubeba kwa lazima na mijeledi juu!πππ
Wanaume tumeumbiwa matesa inauma sana mkuu@mdukuzi ,kweli bwana,we die premature because of these kinds of women,kwasasa. Mzee SHUSHO anaonekana kichekesho ila angekua amefanyiwa Tina basi dunia yote ikiwemo wanaume wangeandamana kumtetea Tina,dunia ya sasa nikandamizi kwa mwanaume tena haina huruma namwanaume chakushangaza ,hadi wanaume tunajipendekeza nakushangilia alichokifanya Tina badala ya kupigwa vita hadi ajutie,media zinajaribu kutetea uzinifu wake,namakosa yakena nakuhalalisha alichokifanya as if nitabia njema Ktk jamii.eti tu kisa nimwanamke mwenye matako daahh????!!!!