Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Yani Tina kaongea kidogo tu, wanaume kutoka maeneo mbalimbali nchini wameamua kuanzisha maandamano π€£π€£π€£π€£π€£Nimesoma comments zote hadi hapa, ila comments za Evelyn Salt π
Kweli Mkuu wewe ndiyo wa kuleta petrol kwenye ajali ya moto π
Mi nlichokisoma hapa alihohiwa akasema " nimeamua kuachana na mme wangu ili nitumize ndoto tangu" kwahiyo alivoachana amefungua kanisa lake.....ila pia hapendi kuitwa mchungaji anapenda kuitwa tu muimbaji. Hiki ndicho nimesoma hapa jf sijajua kama kuna mapya kaongea.Eti mrembo kwani shusho kaongea kitu gani?
Sisi walokole huwa tunaanguka kiroho jamani kama ambavyo nanyie watu wa kawaida hutenda dhambi, ndio Maana Mungu wetu mwenye huruma anatupa nafasi ya kutubu. πΉKwani kasemaje Tina?si niliwaona wote na daddy kwenye mtoko wa pasaka?
Anyways,tatizo la Tina anajiita mlokole kumbe ni shangingi na dada wa mjini aliyeshindikina,ukitaka kujua tabia ya Mtu angalia watu anaomingle nao,Sasa Mtu rafiki zake bongo movie kuna jambo hapo?
Hahahahaha Mondi amuoe huyo Tina ? Ila inawezekana..Kuna ka kujifunza hapa. Haya ndiyo madhara ya wazee kuoa mabinti wadogo ambao wakishindwa kuwapelekea moto ipasavyo, huwakimbia na kuwafuata vijana wenzao wanaoweza kuwadinya sawasawa.
Tina amechungulia mechi akaona kuwa akiendelea kukaa na yule mzee hawezi kupata haki yake ya ndoa kikamilifu ndipo akaamua kukimbilia kwa Diamond. Hata kama ungekuwa wewe ungefabtaje mkuu? Mtu anapiga bao moja tu halafu anaanza kukoroma hadi asubuhi na wewe bado unahidaji kudunywa. Si inabidi ukimbie?
Mm namuunga mkono Tina lakini namshauri avunje ndoa na ikibidi abadili dini ili Mondi amuoe kihakali kuliko anavyomtesa mzee wa watu anamuacha njia panda. Avunje ndoa tu ili mzee wa watu naye antafute mzee mwenzake amuoe, naye aendelee na Mondi wake, isiwe shida.
Na kwa jinsi Mondi anavyopenda mbunye sidhani kama atakubali kumuachia kirahisi. Avunje ndoa na mzee Shusho na abadili dini aolewe na Mondi.
Mlokole ndio anaongea hayoo? Ndio maana ktk wanawake naonaga miyeyusho ni walokoleKwani kasemaje Tina?si niliwaona wote na daddy kwenye mtoko wa pasaka?
Anyways,tatizo la Tina anajiita mlokole kumbe ni shangingi na dada wa mjini aliyeshindikina,ukitaka kujua tabia ya Mtu angalia watu anaomingle nao,Sasa Mtu rafiki zake bongo movie kuna jambo hapo?
Alisemaje vile, au ndio Ile nimemkojoza sanaaaMarehemu G Habash alisemwa na Ladyjaydee sana. Alikuwa achia kombora moja Hiroshima akaonekana mbaya ila vita vikaisha
Sadist mentalityYule mwanamke ni Savage
Ni aina ya watu wanaofurahia kuumiza wengine
Anyway hope mzee hajishughulishi na mitandao maana hiyo ndio huwa chanzo Cha maumivu
Mada iko kwa Kiswahili, wewe unaandika kwa Kiingereza.Too much is a silently killing poison coz anything under this world is wisely to be done by average scale, but why in the past twenty years of her marriage she didn't announce any internal marriage issues such as she was undergoing gender victimization from her husband in these social media platforms till they became separated at this current moment?
How long is this gonna be driven by that woman to the civilized person (her fomer husband) whom is still tolerating personal interior conflicts by being calm down while his crucial former family perspectives are continually exposed which couldn't even being expected that it will be announced at one day in the social media due to their marriage agreements in the all time they were together and after separating their close family relationship?
The human rights companies to complain and defend are still not yet to take any action plans or are only made to be executed by women sides but not men?
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Swali zuri, vipi uliambiwa huo udhalilishaji?Tunapaza vip sauti hali ya kua hatujui udhalilishaji alio fanyiwa.
Kwa hiyo imethibitishwa kuwa Tina ni mali ya Dangote? πKuna ka kujifunza hapa. Haya ndiyo madhara ya wazee kuoa mabinti wadogo ambao wakishindwa kuwapelekea moto ipasavyo, huwakimbia na kuwafuata vijana wenzao wanaoweza kuwadinya sawasawa.
Tina amechungulia mechi akaona kuwa akiendelea kukaa na yule mzee hawezi kupata haki yake ya ndoa kikamilifu ndipo akaamua kukimbilia kwa Diamond. Hata kama ungekuwa wewe ungefabtaje mkuu? Mtu anapiga bao moja tu halafu anaanza kukoroma hadi asubuhi na wewe bado unahidaji kudunywa. Si inabidi ukimbie?
Mm namuunga mkono Tina lakini namshauri avunje ndoa na ikibidi abadili dini ili Mondi amuoe kihakali kuliko anavyomtesa mzee wa watu anamuacha njia panda. Avunje ndoa tu ili mzee wa watu naye antafute mzee mwenzake amuoe, naye aendelee na Mondi wake, isiwe shida.
Na kwa jinsi Mondi anavyopenda mbunye sidhani kama atakubali kumuachia kirahisi. Avunje ndoa na mzee Shusho na abadili dini aolewe na Mondi.
Kama ni hivyo hapo kamdhalilishaje mumewe?Mi nlichokisoma hapa alihohiwa akasema " nimeamua kuachana na mme wangu ili nitumize ndoto tangu" kwahiyo alivoachana amefungua kanisa lake.....ila pia hapendi kuitwa mchungaji anapenda kuitwa tu muimbaji. Hiki ndicho nimesoma hapa jf sijajua kama kuna mapya kaongea.
Mwenyekiti japo sijui kinachoendelea nitatoa simenti mifuko mitano πNondo mbili na cement mifuko 3 kutoka kwangu kwa ajili ya ujenzi wa sanamu la Christina....
Naomba kuwasiliasha.
Ebu Nifah njoo uokoe jahazi hapa unasikia tu Shusho kamdhalilisha mumewe alafu ujui huo udhalilishaji ni upiKwani kuna nini? Hamtuambii, mnataka tujadili nini.
kwani shusho kasemaje mbona hamtuambiiMada iko kwa Kiswahili, wewe unaandika kwa Kiingereza.
Ndiyo maana hata wewe unaona hilo wazo la mzee kutetewa lina maana.
Mwanamke mpuuzi anapuuzwa na upuuzi wake.
Mwanaume wake anapaswa kujikita kwenye mambo mengine ya msingi, siyo naye kuja kulumbana mitandaoni au kutaka kujitetea au kujisafisha. Ni kupoteza wakati pia kuingia kwenye mfumo wa 'kike'.
Uanaume ni kukaza na kukaa kimya wakati wa dhoruba. π
Ukiachana na kuvunja ndoa Ili atimize ndoto zake sijui maneno mapya kazungumzaπ€Mlokole ndio anaongea hayoo? Ndio maana ktk wanawake naonaga miyeyusho ni walokole