Wanaume tupaze sauti tumtetee Mzee Shusho kwa udhalilishaji anaofanyiwa na Christina

Wanaume tupaze sauti tumtetee Mzee Shusho kwa udhalilishaji anaofanyiwa na Christina

Nikajua tu ni mimi sijui kinachoendelea!! Yanawatoooka ila hakuna anayesema ni udhalilishaji gani kafanya zaidi ya kuongea hisia zao na kutoa stress zao🙆🙆
Naona watu wanatiririka tu, hebu wekeni hayo machambo tuyaone wote kayasemea wapi?
 
Mzee Shusho angeshusha kombora kama Gadner ingekuwa soo, Jide aliongea sana ila Gadner alipopigq mshono kwa kombora moja tu akaonekana yeye bonge la mkosaji.
 
Ndiyo uanaume. Ni heri kufa ukiwa shujaa kuliko kuishi kama coward.
Wanaume hatulii, hatulalamiki wala kutafuta huruma hadharani/mitandaoni.
Vitu hivyo havina faida wala havitatui matatizo. Mwanaume anakaa chini anatulia, dhoruba itapita tu.
Na hiyo ndiyo tofauti yetu na wanawake. Wanaume wa kisasa kila siku mnataka mfanane na wanawake. Wao wakilia, nanyi mnaenda kulia.
Hopeless!
Endelea kutafuta zawadi ya kufa Kiume huko mbinguni kabla ya siku zako utuachie Pisi Kali wako tumtwange na kuni kisawasawa [emoji1]

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Mkipigwa chini yanawatoka sana, tulieni bana papuchi zipo nyingi....kamata nyingine endelea na maisha yako.

Malaya kisa kachoka kubeba mzigo? Kwahiyo aendelee kuteseka ili mumuone malaika??? Acha aishi apendavyo.....
Sasa kama ksahaamua kuishi kivyake si atulize nyapu anaongea ongea nini?
 
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha.

Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa miaka 20 ndio ugundue ni mbaya, kuna msanii mkubwa mmoja nasikia ndio anampa kiburi

Wanaume wapole ndio maana tunakufa mapema, Tina angeolewa na mswahili kama Mwijaku au Manara asingethubutu kumdhalulisha mzee wa watu, angeanikwa hadi siri zake za chumbani.
Christina ni Danga kama maadanga mengine ila amejificha kwenye mwamvuli wa uimbaji wa nyimbo za injili. Wee muimbaji wa nyimbo za injili kila siku uko na akina Diamond wapi na wapi?
Ukimsikiliza mara awashauri wanawake wasitoke kwenye ndoa waliojenga kwa miaka kadhaa, mara nimeachana na ndoa ili niwe mchungaji niweze kuhudumia kanisa langu, mara nilikuwa mzuri sana mama kahofia nisiharibike hivo nikaozeshwa kwa lazima. Ameshapata mileage za kutosha hebu atuache kwanza.
 
Mwanaume bora hajibu mwanamke anaporopoka. Kama ameamua kuachika akwende tu. Hakuna kujibizana nae.
 
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha.

Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa miaka 20 ndio ugundue ni mbaya, kuna msanii mkubwa mmoja nasikia ndio anampa kiburi

Wanaume wapole ndio maana tunakufa mapema, Tina angeolewa na mswahili kama Mwijaku au Manara asingethubutu kumdhalulisha mzee wa watu, angeanikwa hadi siri zake za chumbani.
Wanaume
 
Yani hapa ndo namkumbuka Mange Kimambi maana tayari angekuwa asharuka na shusho na kuleta mafaili yake yote
 
Endelea kutafuta zawadi ya kufa Kiume huko mbinguni kabla ya siku zako utuachie Pisi Kali wako tumtwange na kuni kisawasawa [emoji1]

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Zawadi ya kufa kiume ni kuzaliwa wa kiume. Hii ni tunu, tuitumie.
Na kuhusu kuitwanga pisi yangu, usiwaze, hata leo itwange tu. Maana hao wakiamua hakuna cha kuwazuia. 😁
 
Back
Top Bottom