kumbuka wakati unataka nifanye maamuzi ya busara nipo kwa mwanamke napewa vitu vitamu.hapo ni muumba aingilie kati kunusuru.
Lizzy karibuAsante mamii gfsonwin
Yani tunarudi pale pale kwenye ubinafsi. Anakuwa anataka shida zake ziwe za wengine, hisia zake za kulia lia ziwahusu hiyo familia yake alotelekeza bila kujali wao wanajisikiaje.
Watu wabinafsi ndivyo walivyo..hawajali wengine.Everything has to be about them and no one else.
mweeeh!! iyo like nimekupa kwasabb tu umetoa maoni yako ila kwakweli umekuwa mkali sana teh teh tehYaani ni kero na tena usiniambie maana kwangu majanga tupu.... Kwa kifupi kabisa wanawake wenzenu wasio na fadhila na wasioheshimu ndoa na muundo wake ndio wanaowapoteza hawa wababa mafedhuli na wasio na heshima... Kwa sasa wanasema michepuko...Hivi kama kila mwanamke angejaribu kuubeba mzigo wa mwenzie na kuwakimbia hawa wababa watia nuksi unafikiri kuna ndoa au familia ingekuwa njia panda???????? Wanawake hampendani ila pia kwa aina hii ya wababa mimi naona bora wasingezaliwa au wangeishia mateja na machizi ili wasiharibu dunia zaidi.
Viol ivi unajua kuwa kuna akina baba wanatelekezaga watoto kabisa na kuwaacha na mama?Baba huwa hamwachi mwanae,anamwache pale mtoto akikaidi ushauri wa baba,unakuta mababa wengine wa kizamani,sasa mtoto anakuja kutoboa baba anakuwa piriton maana alimshauri mtoto asingefanikiwa kwa njia hizo,mfano,baba wa diamond usikute aliwahi kumshauri diamond asivae cheni,hereni,asiimbe mziki ni uhuni,leo mtoto katoboa baba mdomo wazi na amekumbwa na matatizo no option wakati diamond ana choo cha gold iliyogarimu million 70 sawa na kombe la timu zote Tanzania bara inayogombaniwa...........cha msingi usimpotezee baba,anaweza ongea pumba ila kuna point lazima inakuhusu.
pole kwa masaibu yako , lkn huoni kwamba ungemuoa huyu mama wa mwanao angekupunguzia hizi karaha?Chanzo cha hili tatizo ni wanawake wenyewe wala usiwalaumu wanaume. Mfano mimi mwenyewe nina mtoto nimezaa na dada mmoja hivi. Nimemuhudumia toka mimba hadi mtoto na nilikua nina mpango wa kuoa, lakini yaliyotokea sina hamu nayo. Tukafika point tukakubaliana kuangalia kweli nikawa nahudumia lakini mtoto akawa hali yake hainiridhishi. Mtoto akiwa na mwaka na nusu akapata kazi akasema hawezi enda na mtoto anamucha nikasema mlete kwangu. Akamleta nikampeleka humo akawa analelewa huko. Mtoto alibadilika akachangamka akanenepa akawa na afya kulingana na umri wake. Akaja mchukua likizo akaenda nae lakini nasikitika kagoma kumrudisha ili aanze shule zile za watoto. Inaniuma sana maana yule mwanamke atamtesa mtoto hana mapenzi na mtoto hata kidogo. Hasira zake zote anazipeleka kumkoromea mtoto. Yaani kanikatisha tamaa nikasema basi waendelee na maisha yao. Lengo langu ni kumjenga mtoto kielimu kipindi hichi nina uwezo lakini umimwambia hivyo anadai ukimchukua najiua
Viol ivi unajua kuwa kuna akina baba wanatelekezaga watoto kabisa na kuwaacha na mama?
tena akiwa na iman kwamba sitaki tena kuwa karibu na hawa watu?
dada gfsonwin maisha magumu huchangia kwa mtu ambaye uvumilivu hana unakuta mtu pesa shida,ajira ndo hivyo inapiga chenga ,kodi unadaiwa na familia ndo hivyo inakutegemea wewe sasa hali kama hii familia inashinda njaa mtu anaona asepe bila kujali hali aliyoiacha na vijana wengi hufanya hivi wakiwa na matumaini kuwa ndugu au wazazi wa mwanamke kwa lolote ile watatoa msaadahivi hekimamali, huo ugumu wa maisha yeye tu ndo anaokumbana nao?na je nani antegemewa aje awe msaada kwa watoto wake/familia yake/ivi anaporudi kuomba msamaha wewe kama mama ama mtoto ulotelekezwa utasamehe kweli? nimejikuta namkumbuka Kongosho na King'asti kwenye hii hoja
Wala usiwaze!
Mara nyingi maswali magumu majibu yake ni mafupi sana japo sio rahisi kuyaelewa bila kufafanuliwa. Sababu ni:
Inatokea hivyo kwa sababu ya incompatibility ya changamoto za maisha ya mume na mke!
Nakuambia usicheze na nguvu ya Limbwata dada yangu maana mwanzo ni mzuri ila baada ya kukolezewa madawa huyo siyo binadamu tena ila ni nusu pepo, sasa kama mbaba ameshageuka pepo mtu, ataweza kuishi na binadamu.... Nina hasira sana maana kama siyo mipango ya mungu na uvumilivu wa mama yangu labla ningekuwa teja au chokora huku mdingi anakula vya laana. Biblia inasema "Enyi wanawake waombeeni waume zenu" Kuna kitu mungu aligundua hadi kuweka hili agizo.... Ila kwa niliyoyaona tangu nakua, baadhi ya wanaume hawakustaili kuuona utukufu wa binadamu.. real bora wangeumbwa kuku ili warukie kila uchapo.mweeeh!! iyo like nimekupa kwasabb tu umetoa maoni yako ila kwakweli umekuwa mkali sana teh teh teh
mie nasema ivi huyu baba anaye kwapuliwa akili yeye anakuwa amempa nani izo akili amshkie? ivi huwa mchepuko unaweza kununua akili ya mtu kwa kiasi hicho? mie nadhani ni utash wao wa ndani kwakweli
ivi ivyo vitu vitamu vinaharibu akili sio??
Sasa kwann unaporudi kuja kutafuta huruma/msaada usiende kwa huyo anokupa vitu vitamu?
ivi mdogo mdogo hawa unaowaacha nyuma wao ni vyuma? Kwamba hizi shida hazitawagusa?dada gfsonwin maisha magumu huchangia kwa mtu ambaye uvumilivu hana unakuta mtu pesa shida,ajira ndo hivyo inapiga chenga ,kodi unadaiwa na familia ndo hivyo inakutegemea wewe sasa hali kama hii familia inashinda njaa mtu anaona asepe bila kujali hali aliyoiacha na vijana wengi hufanya hivi wakiwa na matumaini kuwa ndugu au wazazi wa mwanamke kwa lolote ile watatoa msaada
pole kwa masaibu yako , lkn huoni kwamba ungemuoa huyu mama wa mwanao angekupunguzia hizi karaha?
manake wewe ni iko ivi ama ulikosea kutafuta mtu sahihi ama ulikurupuka kuzaa lkn kama kakuzalia mtoto damu yako inatosha kusahau kila kitu na muanze kuyajenga upya kuliko kuwa mbinafsi kwa kuwaza yakupendezayo ukasahau mtoto wako ambaye yeye ni innocent sana wala hausiki na hilo saga lenu
mmh mie nisiseme sana kuhusu ilo la vitamu kuharibu akili ila nije kwenye kuhurumiwa, ivi kweli unataka huruma kwa mtu uliyemtenda?unajuwa Mimi naamini mapenzi ya dhati yapo kwa mwanamke mmoja tu yule ambae ulianza nae mkapata na familia.ukifanya mambo ya ajabu huko nje ukirudi asilimia nyingi atakukubali tu na kuendelea na maisha. Kuhusu suala la vitu vitamu kuharibu akili ama la ungekuwa mwanaume ungenielewa gfsonwin.
ivi wewe una muadhibu mwanao kwa kosa la mama yake?Unaambiwa ni bora ukakosea kujenga nyumba kuliko mke. Hii ni story nyingine ambayo inahitaji muda wake kuijadili. Lakini kwa kifupi niliishi nae na ninajua kuipenda familia yangu lakini mambo yake yalinishinda hasa hawa wadada wa siku ambao wanapenda ndoa lakini majukumu ya ndoa hawayawezi ni shida tupu. Wacha waishi tu maana nishaanza kusahau ila roho inaniuma hasa yule mtoto. Maana mama mtu hana future hata kidogo