hongera sana kama wewe u baba boradada mkubwa hata kama kosa ni kubwa kiasi cha kutosameheka sidhani kama ni sahihi kuacha familia. Mimi huwa nasema hata iweje sitaruhusu mwanangu aumie kwa sababu ya mwanamke. Nifanya kila kilicho katika uwezo wangu kuhakikisha wanangu wanakuwa katika hali nzuri. Na hii wapo wanaume wengi tu wanafanya.
Ni dhambi kubwa sana ukishindwa kumfanyia wema ndugu wa damu kuanzia mume/mke,dada/kaka,mama/baba,wifi/shemegi,bamkwe/mamkwe ,shangazi/mjomba n mtoto, hata km awe amekuudhi kiasi gn,basi ww mfanyie wema n ihsani,mwisho mwenyewe ataona aibu kwa alokutendea baada ya ww kumfanyia wema
Mkuu Manuu nasoma baadhi ya post juu ya wadau naona wanabase juu ya hisia flani ama wanalibeba kihisia tuu. Maana mtu hawezi kurupuka na kufanya huo upuuzi bila kuwa na sababu, wanawake wamekuwa ni zaidi sumu sasa katika ndoa zilizo nyingi. Mimi nasem mpaka mwanaume afanye ivyo kuna side B yenye iffect sana imagne amegombana na mwanamke then mwanamke anamropokea we nawe mwanaume unajiaminishaje kwanza flani ni mwanao?. Japo swali kama hilo atalisema akiwa na hasira je unafikir kwa mwanaume linachukua nafasi gan? Akikusanya na tabia nyingine za kutokuwa mwaminifu hapo nyuma labda kufaham mwenzake anachepuka unafikiri nn kinaenda kutokea? Jaman kila kitu kinatokea kukiwa na sababu za msingi za kukifanya kitokee.
Yapo pande zote.... Wewe hujawahi shughudia mwanamke ananyanyaswa na mmewe hadi majirani mnamwonea huruma ila ukidhubutu kumshauri anaenda kukuistaki kwa mmewe, hivi unafikiri huyu atakuwa na akili zake au zakutegeshewa??? Hope unaamini upo uchawi japo hauwezi kukudhuru kwa kuwa tu umeamua kuwa moto au baridi na siyo vuguvugu.ilo limbwata muda mwingine tunalisingizia,
ivi wanawake wao hawapewagi ilo limbwata?
mmmh akya nnai tena hawa wababa wanajuaga kuchumisha dhambi wenzao
imagine eti anakuacha unatesema afu mwishon anakuijia eti kutafuta huruma yako
unajua hata kama ni upendo lkn kuna muda inabidi basi akili ikuamulie kwa busara
ivi brodah mtu unapotelekeza familia afu baada ya muda unarudi tena humo humo kuomba msaada tena kwa lazima unakuwa hukumbuki ama?
je usiposaidiwa huwa unalaumu nini?
tuache kupayuka payuka hapa, hivi huyu baba anaetelekeza familia, anaitelekeza na kuishi peke yake? tumeshajiuliza huwa anaenda wapi?
wengi huanzisha familia nyingine na kuzihudumia, mbona hatujadili uzuri wa upande huu? tuache kuwa bias na tuone both positive and negative aspects za hawa wababa.
sawa ni kelele za mwanamke zimekutoa ndanimizani huwa inalinganishwa ndo unakuwa na kipimo sahihi,,, mwanamke kaumbwa kuongea -(kuchonga sana), kitu ambacho hamkubali ni kwamba huwa mnakuwa chanzo cha rabsha, sasa sbb mnachonga sana, ndio mnakuwa wa kwanza kwenda kuyasema huko nje, ilhali wewe ndo mtuhumiwa, hakuna mwanaume anaekimbia bila sababu, wanawake ndo waanzilishi wa matukio, na ndio wa kwanza kuwahi polisi.
hakuna tatizo kabisa wala mie ilo sio tatizo kwa mwanamke yyte yulejamani situnataka haki sawa kwa kila jambo ? sasa tukiachwa na wenza wetu na tukajitunza na kutunza watoto wetu bila msaada wao kunatatizo gani?
na ukimkataa unaambiwa una roho mbaya na hapo hapo wakiwa wenyewe wanajisifu ati wanaume huwa hawarudii matapishi kweli usilolijua ni kama usiku wa kiza.
Bestito nashukuru kwa mada nzuri hii ya kuwakumbusha wajibu wanaume wazembe ni kama umegusa mboni ya jicho langu mm mwenyewe huwaga wananishangaza sana hawa wababa/wanaume ambao wanatelekeza familia yao na kufanya mambo ya kihuni sana
wanaona fahari sana kufanya uhuni kuliko kuwalea watooto wao hawako radhi kuwashughulikia wale wtoto waliowaleta duniani wao wanatelekeza hawajui kuwa ipo siku ambayo hiyo familia mungu ataionekania na kuwa bora baadaye
na wanapopata shida wanarudi kwa familia yao sasa hapo kama ndo mm asinijue kila mtu aishi kwa mpango wake mwenyewe na wala asinifuate tena kwani ni kwazo kwakngu pia
tuache kupayuka payuka hapa, hivi huyu baba anaetelekeza familia, anaitelekeza na kuishi peke yake? tumeshajiuliza huwa anaenda wapi?
wengi huanzisha familia nyingine na kuzihudumia, mbona hatujadili uzuri wa upande huu? tuache kuwa bias na tuone both positive and negative aspects za hawa wababa.
gfsonwintatizo ni kwamba anaye achwa hujikaza kisabuni hadi wanae watoboe afu mwoshon anarudisha kichwa nyumban eti amerudi kuja kupata msaada....