ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,351
KWa upande wangu mimi huwa napenda pale ninapotumia kitu changu chochote Chenye thamani kwa sababu ya Mtu nimpendae.
Huwa napenda kumuona akiwa na uhitaji wa kitu kutoka kwangu na hata kama hajaniomba lazima nihakikishe nampa kile ambacho najua Atakihitaji.
Mahitaji ya Mwanamke ni Jukumu la mwanaume, hata kama hajakuomba nilazima Ujue na Kutambua kuwa wewe ndiye mwenye kubeba majukumu na ndio unastahili kumfanya yeye apate kile anachokihitaji.
Kusubiri Mwanamke AkUombe ni kujionyesha kuwa Hujui wala Kutambua ni lipi jukumu lako na Ni kipi ambacho Unatakiwa Kufanya kwa Mwanamke Umpendae.
Lakini Vile vile Asiamini Hilo na Ajaribu Kuchunguza Inawrzekana Kuna mtu nyuma Ya pazia Anajali na Kuhudumu...
KWA HIYO NI BORA KUZIBA UFA KULIKO KUJENGA UKUTA