Wanaume tupewe nini?

Wanaume tupewe nini?

KWa upande wangu mimi huwa napenda pale ninapotumia kitu changu chochote Chenye thamani kwa sababu ya Mtu nimpendae.

Huwa napenda kumuona akiwa na uhitaji wa kitu kutoka kwangu na hata kama hajaniomba lazima nihakikishe nampa kile ambacho najua Atakihitaji.

Mahitaji ya Mwanamke ni Jukumu la mwanaume, hata kama hajakuomba nilazima Ujue na Kutambua kuwa wewe ndiye mwenye kubeba majukumu na ndio unastahili kumfanya yeye apate kile anachokihitaji.

Kusubiri Mwanamke AkUombe ni kujionyesha kuwa Hujui wala Kutambua ni lipi jukumu lako na Ni kipi ambacho Unatakiwa Kufanya kwa Mwanamke Umpendae.

Lakini Vile vile Asiamini Hilo na Ajaribu Kuchunguza Inawrzekana Kuna mtu nyuma Ya pazia Anajali na Kuhudumu...

KWA HIYO NI BORA KUZIBA UFA KULIKO KUJENGA UKUTA
 
huyo rafiki yako amshukuru mungu kabisa kwani wanawake km hao tupo wachache sn akimuacha tu imekula kwake

MmmmmH ubarikiwe sana mwanamke wa aina yako.

Tatzo lenu mnapata wanaume wavulana...
 
Sina uhakika kama dada mtumishi Heaven Sent .. nayeye ni bepari wa mapenzi...

Unapotaja jina la Huyo Binti Nahisi Moyo Wangu Unasimama Kufanyakazi na Hapo hapo nahisi Israel Mtoa roho yupo nami.

Msalimie Missyrose na Dada Apologise lady bila kumsahau my X rubii na Shem Cute b aka kinyama cha hamu
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Wasukuma wanatoa pesa kweli? Maana wao ni hapa kaz tuuu

Nasikia hata wakichukua vyumba na wadada huko mtaani, ikitokea mdada akalala juu yake anagoma kulipa anamwambia mdada ndo alipie.
 
sumbai....
Namaanisha "necha" ya mwanaume ni kuhudumia, kumbuka mwanaume ni mlinzi na mlishi mkuu wa familia. Hususan wanaume wa kiafrika. Na necha ya wanawaje kutafuta ulinzi kwa mwanaume...kuwa na mwanaume ambaye anajua atamlinda na kumtunza yeye na watoto

Sasa kama mkitoka out bills zote mdada ana clear...hajawahi kukuomba hata hela ya saluni..... ukienda kwake kuko vizuri mara tano zaidi yako. Anachohitaji ni liwazo ty...kila mwanaume akijututumua mdada hastuki....

Hapo mwanume Atapata wapi confidence???? .... lazima mwisho wa siku 1. Akinbie au 2. Atafute mchepuko utakaojaza nafasi

Mkuu sumbai mtazamo wangu ni kama huu wa BADILI TABIA
Na hili tatizo linawakumba wadada wengi wenye vipato vinono, men wanashindwa kwenda nao sawa. Ila mwaume ukijitambua, ukaelewa na kukubali why she is doing that, mtaenda sawa.

Binafsi sioni shida kama hatumii kipato chake kuninyasanyasa. Wengi wa hivi wanataka mahaba na security baaasi, so ukimjulia unakula good time naye vizuri tu. Tatizo wanaume wa kiafrika inferiority complex inatusumbua balaaa
 
Last edited by a moderator:
Love anaishi wapi huyo rafiki yako? Au ni yupi? (Nauliza tuu)
Huyo mwanaume atakuwa ni mito..

Weeee swahiba mi nipate bahati hiyo niiache tena, aahaa never on earth!!! As long as aninyasinyasi kwa kipato chake nitaenda naye sawa tu.

Kama uko kama huyo mdada unakaribishwa kwa roho nyeupe swahiba, teh teh teh!!
 
Weeee swahiba mi nipate bahati hiyo niiache tena, aahaa never on earth!!! As long as aninyasinyasi kwa kipato chake nitaenda naye sawa tu.

Kama uko kama huyo mdada unakaribishwa kwa roho nyeupe swahiba, teh teh teh!!

Ha ha ha mimi ni team "no free p" team 'no geto"
 
Ni jirani yetu hapa hapa, ila naomba nisikuambie jina lake.
mito asingemuacha...

Exactly!! hivi umejuaje mkuu!!!! yaaani kama uko mawazoni mwangu kabisaaa. Niache madini hayo naumwa, loh!!

Wa hivyo ni mahaba na security baaasi umemaliza kila kitu. Ila sasa ndo uache kabisa michepuko, manake akijua tu wa hivyo hawanaga simile aiseee, anakupiga chini kufumba na kufumbua!!!
 
Ha ha ha mimi ni team "no free p" team 'no geto"

Mmh basi haya, kumbe team sawa na bestito dadangu atoto. Kumbe kweli ndege wafananao huruka pamoja
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom