Wanaume tupewe nini?

Wanaume tupewe nini?

sumbai hiyo inafaa kuwa movie..Hao jamaa waigizaji wazuri sana
 
Last edited by a moderator:
Jamaa yupo sahihi kumshangaa huyo gf wake ni sawa na fisi kufungiwa bucha then asile hata kinyango kimoja.

All in all wanaume wanahitaji
1 . elimu

2. Elimu

3. Elimu
 
Huyo binti anaumwa akili haki vile, yaani nigharamie!!! Uwiiii hata kuwaza tu sijawahi yaani, ameniudhi kweli wa wapi huyo!!! Agggggrrrrrrr!!
 
Huyo binti anaumwa akili haki vile, yaani nigharamie!!! Uwiiii hata kuwaza tu sijawahi yaani, ameniudhi kweli wa wapi huyo!!! Agggggrrrrrrr!!

Inaonekana hujawahi kupenda toka moyoni....
 
Ha ha ha...ila uzuri na wew ni mtoaji mzuri...so hatonishawishi labla Heaven Sent atashawishika....
Teh cute b me nishawishike na nini tena? Yani hata kuomba sikumbuki manake paulo ananimwagia tu pounds, rahajeeee. So nafanya tu kumshikilia kwa nguvu zote. My kaka mito hanaga hiyana na baby ake, anakula tu raha za ndoa now mwee

Sina uhakika kama dada mtumishi Heaven Sent .. nayeye ni bepari wa mapenzi...
Mpendwa usiwaze kabisa teh. Nishakujibu hapo juu
 
Last edited by a moderator:
Unapotaja jina la Huyo Binti Nahisi Moyo Wangu Unasimama Kufanyakazi na Hapo hapo nahisi Israel Mtoa roho yupo nami.

Msalimie Missyrose na Dada Apologise lady bila kumsahau my X rubii na Shem Cute b aka kinyama cha hamu

Daah shem ibra87 usife bana, tunakuhitaji sana
 
Last edited by a moderator:
Nimewahi maramoja napo sikuwahi kumhudumia kipesa, ni jukumu la mwanaume kumhudumia mwanamke wake.

Ni kweli mwanaume anatakiwa kumhudumia mwanamke...ila sio kwamba kama vitu unaweza kufanya mwenyewe ndio umtegemee mwenzako akufanyie.....hapo hutakuwa fair na hutakuwa unampenda mwanaume wako....

Mi siongelei kuhudumia ambapo mwanaume anafanyiwa kila kitu na mwanamke, hapana.... ila ile ya mwanaume kumsaidia mwanamke pale inapobidi......
 
Ila nini? Upo tayari usimgharamie chochte hata mkitoka out bill ana clear mwenyewe....
Will you be okey?

Nikimtoa out bill nalipa Mimi hilo naliweka clear mapema na analiweka akilini. Na kuhusu kumgharamia nadhani ndoa ikifungwa nitakua nipo tayari kwa lolote. Uchumba tu nitamgharimia vichache.
 
Umeona my sista!!!
Mi kweli namshukuru sana Mwenyezi Mungu, sijajutia kuoa aisee, ni raha tu kwa kwenda mbele
Mwee rahajeeee, ngoja nisiandike sana broo teh utaanza kusmile Peke yako kama siku ile. Ila I pray furaha yenu iendelee kudumu milele yote.
 
Ni kweli mwanaume anatakiwa kumhudumia mwanamke...ila sio kwamba kama vitu unaweza kufanya mwenyewe ndio umtegemee mwenzako akufanyie.....hapo hutakuwa fair na hutakuwa unampenda mwanaume wako....

Mi siongelei kuhudumia ambapo mwanaume anafanyiwa kila kitu na mwanamke, hapana.... ila ile ya mwanaume kumsaidia mwanamke pale inapobidi......

Pale inapobidi lini? Kila siku inatakiwa ibidi, toeni pesa bwana.
 
Back
Top Bottom