Wanaume tupewe nini?

Wanaume tupewe nini?

Tunatafuta box kubwa angalau mtunukiwa zawadi ajue amepata hata washing machine kumbe ndani tumemwekea boko haram wake hahhaha

Mwe mwe mweeeeh!! Kweli umenichoka, nimekuwa boko haramu tena!
 
Mwe mwe mweeeeh!! Kweli umenichoka, nimekuwa boko haramu tena!
Yani nimetafuta jina la kukupa nikakosa, angalau hilo boko haram ndo linakutendea haki kidogoo. Angalau baba angu atanenepa jamani khaa
 
Yani nimetafuta jina la kukupa nikakosa, angalau hilo boko haram ndo linakutendea haki kidogoo. Angalau baba angu atanenepa jamani khaa

Teh teh... bepari plus boko haram...
 
Yani nimetafuta jina la kukupa nikakosa, angalau hilo boko haram ndo linakutendea haki kidogoo. Angalau baba angu atanenepa jamani khaa

Yaani anenepe zaidi ya pale!! Daah humtakii mema wewe.
 
Yaani anenepe zaidi ya pale!! Daah humtakii mema wewe.
Wee kakonda utadhani ana minyoo, six pack zote kushney, hadi kakitambi tu kakufutia simu kameisha. Akhuu aongezeke tu mzee wangu
 
Wee kakonda utadhani ana minyoo, six packs zote kushney, hadi kakitambi tu kakufutia simu kameisha. Akhuu aongezeke tu mzee wangu

Weeee kumbe aliwahi kuwa na six packs!! Lini hiyo? Au enzi za ujana wake?
 
Teh jamaa atakuwa anahisi anasaidiwa na wanaume wengine kugharamiwa kitu yake.
 
Kweli kabisa kaka mito ila huyu msichana sio kama anakipato cha juu saana ila ni wakawaida

Basi kumbe jamaa yako ndo anajistukia tu, hajiamini, kamata fursa hiyo mkuu, ahaaaaaa!
 
daaah... kama huyo dada alozungumziwa ni mie vile.... hahahahahahaaaaaa
 
Back
Top Bottom