Wanaume tupunguzeni tamaa za ngono

Wanaume tupunguzeni tamaa za ngono

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,436
Mtaani kwetu kuna chizi kasaidiwa na police kwenda hospital kujifungua but cha ajabu alomtia mimba haonekani.

Nachojiuliza je kufikia hatua ya kumla chizi mtu anakua domo zege ama anakwama wapi?

karibuni tujadili
 
Dunia ina mambo...Waweza kudhani kapewa na teja au kichaa mwenzie..Kumbe kapewa na mtu mwenye akili timamu kabisa
 
Tatizo kichwa cha chini kimewazidi maarifa kuliko kichwa cha juu, Demu akiwa mchafu tu hata awe mzuri vipi hisia zinakata sasa mtu unaanzaje kumtaman chiz ??
Mkuu

Mtaani kwetuuuuuu kuna mmoja huyo ni mwezi mchanga... Akienda hospital anarud vizur tuu Ila alikaa miez kadhaa kinapanda... Basi Wahuni wanajisevia Kwel Kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom