Wanaume tupunguzeni tamaa za ngono

Wanaume tupunguzeni tamaa za ngono

Mtaani kwetu kuna chizi kasaidiwa na police kwenda hospital kujifungua but cha ajabu alomtia mimba haonekani.

Nachojiuliza je kufikia hatua ya kumla chizi mtu anakua domo zege ama anakwama wapi?

karibuni tujadili
Maskini dada wa watu😢 ila wanaume wabaya sana
 
chakushangaza hizi mambo zipo kwa wanaume tu, sijawahi sikia mtoto wakike katembea na chizi.

Mimi nimesikia. Kuna kijiji kimoja huko kusini. Wanawake wametembea na kijana ambaye kichwa hakiko sawa. Mbaya zaidi wamemzawadia hadi na maradhi mabaya.
 
dah! bt matukio ya hivi kwa wadada ni machache kuliko kwa wanaume
 
Ni sawa wala sio vibaya kuwa na hamu ya kufanya tendo ila tatizo huja pale ambapo lipoenda kifanyika.
Maybe some broke dude had a chance on her.
 
kisaikolojia.,wanaumwe tumeumbwa na tamaa lakini wanawake wameumbwa na upendo..iko hivi,mwanaume mwenye akili timamu anaweza kumpa mimba chiz lkn mwanamke mweny akil timamu hutaskia hata sku 1 akipewa mimba na chizi.
fact. mwanamke mpaka akupe ni amekupenda bt mwanaume yeye anawez kusex na mtu asompenda ,shida yake matamanio yake ayakidhi tu,,,.mkuu sisi wanaume hata mwanamke awe mbaya vipi akivua nguo lazma mnara upande,hili liko wazi, lkn kwa mwanamke hii haipo ni tofauti kabisa,.kwahiyo usishangazwe na hilo...simtetei mshkaj mana na discourage mambo kama hizo mana ni utovu wa nidham na kukosa utu.....
Mtaani kwetu kuna chizi kasaidiwa na police kwenda hospital kujifungua but cha ajabu alomtia mimba haonekani.

Nachojiuliza je kufikia hatua ya kumla chizi mtu anakua domo zege ama anakwama wapi?

karibuni tujadili

Sent using [Samsung galaxy s10]
 
Tuache utoto, Chizi kupewa mimba ni mpango wa Muumba ili apate wa kumsaidia Chizi uzeeni.
Kuhusu namna ya kumlea mtoto hilo suala ni dogo kwani Mpango wa Mungu hauhojiwi kwa hakili za kibinadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kisaikolojia.,wanaumwe tumeumbwa na tamaa lakini wanawake wameumbwa na upendo..iko hivi,mwanaume mwenye akili timamu anaweza kumpa mimba chiz lkn mwanamke mweny akil timamu hutaskia hata sku 1 akipewa mimba na chizi.
fact. mwanamke mpaka akupe ni amekupenda bt mwanaume yeye anawez kusex na mtu asompenda ,shida yake matamanio yake ayakidhi tu,,,.mkuu sisi wanaume hata mwanamke awe mbaya vipi akivua nguo lazma mnara upande,hili liko wazi, lkn kwa mwanamke hii haipo ni tofauti kabisa,.kwahiyo usishangazwe na hilo...simtetei mshkaj mana na discourage mambo kama hizo mana ni utovu wa nidham na kukosa utu.....

Sent using [Samsung galaxy s10]
je wanawake wanaojiuza nao wanakua wamewapenda wahusika?
 
Tuache utoto, Chizi kupewa mimba ni mpango wa Muumba ili apate wa kumsaidia Chizi uzeeni.
Kuhusu namna ya kumlea mtoto hilo suala ni dogo kwani Mpango wa Mungu hauhojiwi kwa hakili za kibinadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
je mungu anaruhusu uzinzi hata kusema ni mpango wa mungu?
 
Back
Top Bottom