Wanaume tupunguzeni tamaa za ngono

Wanaume tupunguzeni tamaa za ngono

Niliwahi kusoma sehemu flani nikakuta kuwa SEX ni miongoni mwa basic needs kwa binadamu kama ilivyokua chakula,malazi n.k.
Nahisi kama sio J Piaget basi atakua B Bloom au S Freud.
Wanaume tuna huruma sana nadhani ni katika harakati za kumpatia basic needs
 
Maslow hierarchy of needs amezigawanya makundi matano,
..psychological need
..safety need
..social need
Esteem need
Self actualization

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maslow hierarchy of needs amezigawanya makundi matano,
..psychological need
..safety need
..social need
Esteem need
Self actualization

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani kwa kunkumbusha mkuu ni kweli alikuwa Abraham Maslow,
Wakati nasoma sekondari sikuwahi kuwaza kama sex inaweza kuwa basic need nilivyokutana na Huyu jamaa nilishangaa sana nikajua kumbe tunafundishwa wanachotaka tufundishwe kwa sababu maalum
 
Mtaani kwetu kuna chizi kasaidiwa na police kwenda hospital kujifungua but cha ajabu alomtia mimba haonekani.

Nachojiuliza je kufikia hatua ya kumla chizi mtu anakua domo zege ama anakwama wapi?

karibuni tujadili
In other words unatuhamasisha ngono Kwa sababu tamaa za ngono hupunguzwa Kwa kufanya ngono
 
Ni kukosa akili, ukiwa timamu huwezi kufanya hayo.
 
Mwanaume ni kiume adimu sana chini ya jua.. unaweza kuta huyo aliye tia.mimba ana mke mkali balaa.
Mtaani kwetu kuna chizi kasaidiwa na police kwenda hospital kujifungua but cha ajabu alomtia mimba haonekani.

Nachojiuliza je kufikia hatua ya kumla chizi mtu anakua domo zege ama anakwama wapi?

karibuni tujadili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww utakuwa USA sio Tanzania, kwani hamna chizi wa kiume anae weza mpa mimba
 
je wanawake wanaojiuza nao wanakua wamewapenda wahusika?
ile ni njaa ambayo huwafanya vile...anasaka pesa....bimaana pesa kuipat lazma upitie njia ngum kidog....kwa wao wameona miili yao kuiuza ndo kipato chao......wanalazmik kfny ili wapat pesa..

Sent using [Samsung galaxy s10]
 
kisaikolojia.,wanaumwe tumeumbwa na tamaa lakini wanawake wameumbwa na upendo..iko hivi,mwanaume mwenye akili timamu anaweza kumpa mimba chiz lkn mwanamke mweny akil timamu hutaskia hata sku 1 akipewa mimba na chizi.
fact. mwanamke mpaka akupe ni amekupenda bt mwanaume yeye anawez kusex na mtu asompenda ,shida yake matamanio yake ayakidhi tu,,,.mkuu sisi wanaume hata mwanamke awe mbaya vipi akivua nguo lazma mnara upande,hili liko wazi, lkn kwa mwanamke hii haipo ni tofauti kabisa,.kwahiyo usishangazwe na hilo...simtetei mshkaj mana na discourage mambo kama hizo mana ni utovu wa nidham na kukosa utu.....

Sent using [Samsung galaxy s10]
Unaongea nadharia za kitoto sana wewe.
Machizi wa kiume huwala sana wanawake wenye akili timamu kuliko unavyojidanganya hapa.

Kitu pekee kinachofanya waonekane wanaume kuwa wanalala na hao wanawake chizi ni hizo mimba wanazopewa.

Kwani ukimuona mama mjamzito utatofautishaje hii mimba ni ya chizi au siyo ya chizi ?.

Kwa sababu wewe bado mtoto mdogo ngoja nikupe mikasa miwili niliyoshuhudia machizi wakiwatindua wake za watu kama kawaida.

Mkasa wa kwanza.
Pale Shinyanga mjini kuna shule X mwalimu mkuu wa pale in early 2000s aliachana na mke wake baada ya kumfumania akiliwa na chizi tena chumbani kwa Ticha mkasa ulikuwa mrefu ngoja niishie hapa.

Mkasa wa pili.
Tabora kuna machizi wengi sana, kuna huyo chizi mmoja anamwili umeshiba white fulani hivi kamzalisha mama mmoja katoto ka kike copyright wakati wife na husband wote ni black.

Hivi wewe unadhani upendo wa mwanamke unaweza kuwa expressed pale tu anapotongozwa ? NO hata wao wanautashi akimwelewa chizi atafanya kila mbinu ili ampate njia rahisi nikumkaribisha Kwake kwa kumpa chakula.

Kua uyaone dogo.

Kweli nimepita sehemu nyingi Tanzania.ila kweli Tabora kuna machizi. Sijui kwanini aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom