PuraVida_Fire
Senior Member
- Apr 21, 2020
- 148
- 86
Maskini dada wa watu😢 ila wanaume wabaya sanaMtaani kwetu kuna chizi kasaidiwa na police kwenda hospital kujifungua but cha ajabu alomtia mimba haonekani.
Nachojiuliza je kufikia hatua ya kumla chizi mtu anakua domo zege ama anakwama wapi?
karibuni tujadili
Kumbuka baba nae ni mwanaumeMaskini dada wa watu[emoji22] ila wanaume wabaya sana
mkuu kwenye utaftaj kuna hizo mambo kumbe?labda masharti ya utafutaji
Dunia ina mambo mengi mkuu,usione watu matajiri,wengine wana nafasi kubwa...siri wanazijua waomkuu kwenye utaftaj kuna hizo mambo kumbe?
chakushangaza hizi mambo zipo kwa wanaume tu, sijawahi sikia mtoto wakike katembea na chizi.
mi hua nasikiaga wanaolala na maiti, kumbe hata kulala na machizi dah!Dunia ina mambo mengi mkuu,usione watu matajiri,wengine wana nafasi kubwa...siri wanazijua wao
Ndio hivyo mkuu...wanapewa majaribio magumu,wakifaulu ndio mambo yao yanaenda sawami hua nasikiaga wanaolala na maiti, kumbe hata kulala na machizi dah!
dah! bt matukio ya hivi kwa wadada ni machache kuliko kwa wanaumeMimi nimesikia. Kuna kijiji kimoja huko kusini. Wanawake wametembea na kijana ambaye kichwa hakiko sawa. Mbaya zaidi wamemzawadia hadi na maradhi mabaya.
ndo maana matajiri wakubwa wengi wanaroho ngum kumbe ni ajili ya mambo wanayopitiaNdio hivyo mkuu...wanapewa majaribio magumu,wakifaulu ndio mambo yao yanaenda sawa
Ukiona mtu tajiri au yuko kwenye nafasi muda mrefu jua amepitia mengindo maana matajiri wakubwa wengi wanaroho ngum kumbe ni ajili ya mambo wanayopitia
Mtaani kwetu kuna chizi kasaidiwa na police kwenda hospital kujifungua but cha ajabu alomtia mimba haonekani.
Nachojiuliza je kufikia hatua ya kumla chizi mtu anakua domo zege ama anakwama wapi?
karibuni tujadili
ahsante mkuu, umenipa mwangazaUkiona mtu tajiri au yuko kwenye nafasi muda mrefu jua amepitia mengi
Tuache utoto, Chizi kupewa mimba ni mpango wa Muumba ili apate wa kumsaidia Chizi uzeeni.Mtaani kwetu kuna chizi kasaidiwa na police kwenda hospital kujifungua but cha ajabu alomtia mimba haonekani.
Nachojiuliza je kufikia hatua ya kumla chizi mtu anakua domo zege ama anakwama wapi?
karibuni tujadili
je wanawake wanaojiuza nao wanakua wamewapenda wahusika?kisaikolojia.,wanaumwe tumeumbwa na tamaa lakini wanawake wameumbwa na upendo..iko hivi,mwanaume mwenye akili timamu anaweza kumpa mimba chiz lkn mwanamke mweny akil timamu hutaskia hata sku 1 akipewa mimba na chizi.
fact. mwanamke mpaka akupe ni amekupenda bt mwanaume yeye anawez kusex na mtu asompenda ,shida yake matamanio yake ayakidhi tu,,,.mkuu sisi wanaume hata mwanamke awe mbaya vipi akivua nguo lazma mnara upande,hili liko wazi, lkn kwa mwanamke hii haipo ni tofauti kabisa,.kwahiyo usishangazwe na hilo...simtetei mshkaj mana na discourage mambo kama hizo mana ni utovu wa nidham na kukosa utu.....
Sent using [Samsung galaxy s10]
Wapo, kuna jamaa kitaa kwetu hazimo sawa ila ana pipe balaa, anakula wanawake kinoma.chakushangaza hizi mambo zipo kwa wanaume tu, sijawahi sikia mtoto wakike katembea na chizi.
je mungu anaruhusu uzinzi hata kusema ni mpango wa mungu?Tuache utoto, Chizi kupewa mimba ni mpango wa Muumba ili apate wa kumsaidia Chizi uzeeni.
Kuhusu namna ya kumlea mtoto hilo suala ni dogo kwani Mpango wa Mungu hauhojiwi kwa hakili za kibinadamu.
Sent using Jamii Forums mobile app