Maslow hierarchy of needs amezigawanya makundi matano,Niliwahi kusoma sehemu flani nikakuta kuwa SEX ni miongoni mwa basic needs kwa binadamu kama ilivyokua chakula,malazi n.k.
Nahisi kama sio J Piaget basi atakua B Bloom au S Freud.
Wanaume tuna huruma sana nadhani ni katika harakati za kumpatia basic needs
Shukrani kwa kunkumbusha mkuu ni kweli alikuwa Abraham Maslow,Maslow hierarchy of needs amezigawanya makundi matano,
..psychological need
..safety need
..social need
Esteem need
Self actualization
Sent using Jamii Forums mobile app
In other words unatuhamasisha ngono Kwa sababu tamaa za ngono hupunguzwa Kwa kufanya ngonoMtaani kwetu kuna chizi kasaidiwa na police kwenda hospital kujifungua but cha ajabu alomtia mimba haonekani.
Nachojiuliza je kufikia hatua ya kumla chizi mtu anakua domo zege ama anakwama wapi?
karibuni tujadili
Pampula nawe ushapiga hilo tukio nini?
HapanaPampula nawe ushapiga hilo tukio nini?
Mtaani kwetu kuna chizi kasaidiwa na police kwenda hospital kujifungua but cha ajabu alomtia mimba haonekani.
Nachojiuliza je kufikia hatua ya kumla chizi mtu anakua domo zege ama anakwama wapi?
karibuni tujadili
ile ni njaa ambayo huwafanya vile...anasaka pesa....bimaana pesa kuipat lazma upitie njia ngum kidog....kwa wao wameona miili yao kuiuza ndo kipato chao......wanalazmik kfny ili wapat pesa..je wanawake wanaojiuza nao wanakua wamewapenda wahusika?
Unaongea nadharia za kitoto sana wewe.kisaikolojia.,wanaumwe tumeumbwa na tamaa lakini wanawake wameumbwa na upendo..iko hivi,mwanaume mwenye akili timamu anaweza kumpa mimba chiz lkn mwanamke mweny akil timamu hutaskia hata sku 1 akipewa mimba na chizi.
fact. mwanamke mpaka akupe ni amekupenda bt mwanaume yeye anawez kusex na mtu asompenda ,shida yake matamanio yake ayakidhi tu,,,.mkuu sisi wanaume hata mwanamke awe mbaya vipi akivua nguo lazma mnara upande,hili liko wazi, lkn kwa mwanamke hii haipo ni tofauti kabisa,.kwahiyo usishangazwe na hilo...simtetei mshkaj mana na discourage mambo kama hizo mana ni utovu wa nidham na kukosa utu.....
Sent using [Samsung galaxy s10]
Abdalah kichwa wazi on mission
Kweli nimepita sehemu nyingi Tanzania.ila kweli Tabora kuna machizi. Sijui kwanini aiseeUnaongea nadharia za kitoto sana wewe.
Machizi wa kiume huwala sana wanawake wenye akili timamu kuliko unavyojidanganya hapa.
Kitu pekee kinachofanya waonekane wanaume kuwa wanalala na hao wanawake chizi ni hizo mimba wanazopewa.
Kwani ukimuona mama mjamzito utatofautishaje hii mimba ni ya chizi au siyo ya chizi ?.
Kwa sababu wewe bado mtoto mdogo ngoja nikupe mikasa miwili niliyoshuhudia machizi wakiwatindua wake za watu kama kawaida.
Mkasa wa kwanza.
Pale Shinyanga mjini kuna shule X mwalimu mkuu wa pale in early 2000s aliachana na mke wake baada ya kumfumania akiliwa na chizi tena chumbani kwa Ticha mkasa ulikuwa mrefu ngoja niishie hapa.
Mkasa wa pili.
Tabora kuna machizi wengi sana, kuna huyo chizi mmoja anamwili umeshiba white fulani hivi kamzalisha mama mmoja katoto ka kike copyright wakati wife na husband wote ni black.
Hivi wewe unadhani upendo wa mwanamke unaweza kuwa expressed pale tu anapotongozwa ? NO hata wao wanautashi akimwelewa chizi atafanya kila mbinu ili ampate njia rahisi nikumkaribisha Kwake kwa kumpa chakula.
Kua uyaone dogo.
Sent using Jamii Forums mobile app