ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Vuta mzigo ndani acha kuzubaa mkuu, hutakiwi kupata shida papa zipo za kutosha.🤣🤣🤣 Bwana wee mie mwenyewe nimetulia zangu na mlenda vuguvugu basi....napitia ule uzi wa warembo hapa jf najichagulia mrembo mmoja mzuri namvutia picha nimemuinamksha style ya msomali kafia kwa fiat basi.
Maana dah kwa kweli kumiliki demu ni gharama sana. Ila poa tuu one day yes naamini nitapata hela anagalau ya kubadilisha warembo, sio mboga tuu 🤣🤣🤣🤣