Wanaume tutafute hela. Hakuna mwanamke mgumu

Wanaume tutafute hela. Hakuna mwanamke mgumu

Hahah, katika hali ya kawaida tu kutoka na mcheps out kula, kunywa na kufurahia uumbaji ukijibana ni 100k hapo bado asante ya kutolewa jasho. Halafu mkitoka tu Lodge inaingia text "baba gesi imeisha, halafu tunaomba tuwekee kifurushi ", wtf!!! Mimi nineamua kunyanyua kwapa na kutundika daluga🤣🤣🤣
Dadeki......
 
Nakubaliana na wewe mkuu, nimeliona hilo mara nyingi, kuna wanaume zaidi ya Pesa hawana kingine cha ku offer kwenye relationship...
Wakitendwa huwa wanalalama kuwa 'walifanya kila kitu', ukiwauliza ni vitu gani, wanataja hela tu.
Hawajui mapenzi ni zaidi ya hela.
 
As long as tunapata K hakuna tatizo mkuu. Wanaume tumeletwa duniani kwa sababu hiyo mkuu
Don't u forget that
Ni sahihi nikisema kuwa umetushauri tutafute fedha za kununulia wanawake (ambao kimsingi ni makahaba)?
 
Back
Top Bottom